JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

KTK WANA JF WACHACHE WENYE HELA, NA MIMI NIMO! TENA SIO ZA FOREX!

ASUBUHI UTANKUTA MWEMBE BASHA NAUZA SUPU YA BANDAMA, MAPUPU, KONGORO NA UTUMBO! PEMBENI NINA UBAO WA MAGAZETI!

MCHANA NAKAANGA MIHOGO NAUZA!

JIONI NAUZA CHIPS, TANGAWIZI NA KAHAWA! PIA CONDOMS ZIPO!

USIKU NALINDA MAGARI! SAA 8 USIKU NAENDA PUGU KUFATA VIFAA VYA SUPU!

WEWE LALA! UTAKULA ULICHOKIOTA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye elimu kidogo kuna utofauti. Mtu akikaa JF hata kama kaishia la saba ni ngumu sana kumjua kuwa huyukaishia la saba kwa sababu anakuwa hana tofauti na member wengine wanaotazamwa kuwa na elimu ya kimadarasa. Hii inatokana na ku cope na mazingira ya uandishi na kujoji au aina ya reasoning anayo idapt. Kuhusu hali za chini kiuchumi mbona liko wazi kuna wa hali nzuuuri na waliokwama wapo nyuzi kibao zipo za waliokwama
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
We komba usijiumize kichwa kwa mambo ya humu utakufa kwa presha bure
 
Kwa vile humu JF wengi wetu ni anonymous sioni sababu ya kujiweka wazi kwenye mambo mengine wakati tayari ID yangu ni feki.


Baelezee baelezee baelewe...
Hao ndio raia wa JF, wakifanana na wa mtaani tofauti inatoka wapi sasa..

Ila usimwambie mtu mie sina kitu, bado nazikumbuka zile sikuuuu, ulipotamani kula kukuuuu, nami mfukoni nina bukuuuu


Eid njema bbade
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
kama mimi namiliki mansion tatu..gari za kifahari 3...nina biashara kubwaa .....mkee na Watoto... afu nina miaka 21 na miezi sitaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom