The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,263
- 49,262
Alete bei ya kile chakula chetu pendwa
Hicho sili mtaani. Lazima upike mwenyewe. Ila kuna zile siku tunapumzika au tumetingwa na mambo mengine tunaamua atuletee mahanjumati.
carbamazepine
Alete bei ya kile chakula chetu pendwa
Trust me, wengi hasa Dar tumeanza hivyo. Mikoa mingine nahisi mambo yapo tofauti kidogo, kuna sehemu nilienda kule Moshi, nikamuuliza jamaa yangu kodi zao zikoje, jibu lake liliniacha midomo wazi.Hayo maisha niliishi mtwara for two years mazuri sanaa!nashukuru hapa Dar sijawahi panga japo masikini tuna vibanda uswahilini huku vyoo vya nje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini kuwa na maisha mazuri,elimu nzuri etc ni tatizo hapa JF? Umasikini unapokelewa positively ila maisha mazuri yanapokekewa negatively! Wabongo tuna tatizo mahali fulani.
Hicho sili mtaani. Lazima upike mwenyewe. Ila kuna zile siku tunapumzika au tumetingwa na mambo mengine tunaamua atuletee mahanjumati.
carbamazepine
Uko vzrHayo maisha niliishi mtwara for two years mazuri sanaa!nashukuru hapa Dar sijawahi panga japo masikini tuna vibanda uswahilini huku vyoo vya nje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii iliojaa negativity.Halafu haya mambo ya kutoa kauli kama za “JF kila mtu tajiri na msomi” ni kutia chumvi. Au kwa maneno mengine ni uzushi.
JF ina wanachama zaidi ya laki 4.
Hawa wote [akiwemo mwanzisha mada] wamedai wao ni matajiri na wasomi?
Ushahidi wao ‘kila mtu’ kudai hivyo uko wapi?
Sitashangaa kama watu dizaini ya mtoa mada wanakuwa wana project inferiority complexes zao kwa kutoa madai yasiyo na ushahidi kama hayo!
Eti ‘kila mtu ni tajiri na msomi’......uzushi mtupu!
Tatizo hapa hata ukitaka ku reason na watoa kauli za jumla namna hii wala hamtaelewana.
Wewe utakuwa unaongea Kiswahili huku mwenzio akiongea Kiyoruba!
Sawa,mwambie aweke menu na bei kabisa tuchague
Hahahahahahhaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enz hii ya ngosha ukiwa hudaiw na benk wewe ni tajir mkubwa
Huu uzi ulikua maalum kwa sie watu tinaojitutumua JF wakati uraiani choka mbaya.
Sijakusikia ukitia neno japo najua wewe sio mwenzetu.
Ila hizi bili ndogo ndogo ntazimudu.
carbamazepine
Jamii iliojaa negativity.
Mimi sitaki hata kusema kitu kwakweli,acha niendelee kupambana kwanza
Ni kosa la jinai humu jf kuwa na gari,nyumba na kusoma. Ukitaka amani sema umepanga chumba kimoja tandale,usafiri wako daladala na uliishia la saba.Full negativity!
So I guess mtu ukisema una gari maana yake wewe ni tajiri?
Ndio maana nikafikia maamuzi magumu juu yako. Tutapambana pamoja.
Ni kosa la jinai humu jf kuwa na gari,nyumba na kusoma. Ukitaka amani sema umepanga chumba kimoja tandale,usafiri wako daladala na uliishia la saba.