JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

Halafu tuvumiliane tu,watu wana stress za kutosha.Pengine wengi kufanya hivyo ndo wanajikuta wanapata furaha.Kuna wakati binadamu mwenye akili timamu anapotea kwenye mawazo akiassume anavyo vitu anavyotamani kuwa navyo akapata furaha ya kusadikika,usije mkurupusha wakati huo.let's enjoy,life is too short to be serious all the time.
 
Back
Top Bottom