Sinza,. karibu sana napika vyakula mbalimbali pamoja na vya asili bei ya kitanzania kabisaa mwezi ujao ntafanya na delivery kuwafikia wateja wangu kama wewe,..karibu sana!!!![emoji4]Kijiwe chako wapi nije nikuungishe
Hongera sana ,kwa hili nami nitakuungisha mkono na miguuSinza,. karibu sana napika vyakula mbalimbali pamoja na vya asili bei ya kitanzania kabisaa mwezi ujao ntafanya na delivery kuwafikia wateja wangu kama wewe,..karibu sana!!!![emoji4]
Hapana Daby,.mtoa mada kanigusa kabisaa alivyosema mama n'tilie ndio maana nimecheka,.karibu Daby nikuhudumie[emoji1]Mbona unacheka sasa kama haupo serious. Unafanyia wapi biashara nataka kukuungisha kesho hapa Dar.
Kwanza itakuwa empty hiyo nyumba.Kwa jiji kama Dar, ni ngumu sana kwa kijana kuishi kwenye nyumba ya chumba, sebule, jiko na choo. Yani graduate wengi ni self contained, chumba+jiko+sebule+store humo humo.
Maisha ni magumu sana, tunajifariji tu mitandaoni.
Haujatoa location....Hapana Daby,.mtoa mada kanigusa kabisaa alivyosema mama n'tilie ndio maana nimecheka,.karibu Daby nikuhudumie[emoji1]
Ahsante, karibu sana mumu-delicious foodHongera sana ,kwa hili nami nitakuungisha mkono na miguu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ahsante, ila sinza siijui vzrAhsante, karibu sana mumu-delicious food
Sinza-lionHaujatoa location....
Ok. Copied.Sinza-lion
Ntakupa location,. Usijali hilo mkuu,.Ahsante, ila sinza siijui vzr
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Nna imani ni mpishi mzuri mnoo ngoja nijongee nije kula vinono ila hujanipa location 🙂Ahsante, karibu sana mumu-delicious food
Karibu mnoo,.Ok. Copied.
Hakika mkuu, unaanza life na godoro tu, maisha mengine yanaendelea. Wengi ndio walivyoanza kuishi kisela, then taratibu maisha yanaendeleaKwanza itakuwa empty hiyo nyumba.
Ahsante,[emoji120]Ntakupa location,. Usijali hilo mkuu,.
Kwa suala la jikoni tuu,alhamdulillah mikono yangu imepata kibali...location nimetoa[emoji4]Nna imani ni mpishi mzuri mnoo ngoja nijongee nije kula vinono ila hujanipa location 🙂
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kwa suala la jikoni tuu,alhamdulillah mikono yangu imepata kibali...location nimetoa[emoji4]