Nauliza kwa dhati kabisa
Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi…
Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao?
Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi,
Maisha yamekuwa magumu kupindukia
Vijana hawana ajira
Wananchi wanalia...
Nimekuwa nikijiuliza sana imekuwaje hawa jamaa wamegeuka ghafla kuwa machawa wa ccm na wapumbavu kupindukia? Badala ya kusimamia maslahi ya wananchi na Taifa sasahivi wanasimamia maslahi ya CCM? Ila sasa nimepata majibu.
Angalia mwenyewe! Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili.
Askari wa...
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.
Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
Naona leo wasanii na baadhi ya watu maarufu imekuwa shangwe kubwa sana kwao na kuwananga raia waziwazi.
Sasa watu kama hao kimsingi sio wa kujibizana nao, suluhisho ni kuwalia buyu mwanzo mwisho ,hakuna kuwapa attentions.
La kwanza kabisa na la msingi zaidi ni ku unfollow, la pili kutocomment...
Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye.
Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na...
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Tabia zinazohusishwa na baadhi ya "machawa" wa CCM mtandaoni:
1. Kutetea chama bila kuangalia hoja – Hata kama chama kiko wazi kimeteleza, bado hutetea kwa nguvu bila mantiki.
2. Kushambulia wapinzani badala ya kujibu hoja – Mara nyingi hujibu kwa matusi au kejeli badala ya hoja za msingi...
Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya basi mtu huyo siyo mzalendo na achague kukaa kimya kama hana cha kuzungumza...
Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba?
Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.