and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Huyo bi dada ni Kama kabanwa haja Kubwa anajitahid kuvumilia Lakin wapi
hahah... mkuu acha bana ujue unachekeshammh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
be as your namewadau leo narudi kwenu tena kuwashukuru wana JF wenzangu kwa pongezi zenu. Pia nafurahi kuwajulisha tumepata mtoto wa pili mwenye afya tele (mama na mtoto wanaendelea vema)
Mwaka Jana umepata mtoto na mwaka huu pia. Au kwa mke wa piliwadau leo narudi kwenu tena kuwashukuru wana JF wenzangu kwa pongezi zenu. Pia nafurahi kuwajulisha tumepata mtoto wa pili mwenye afya tele (mama na mtoto wanaendelea vema)
Tichi tichi tichi tichie mbona majangaatehetehe kwani hiyo picha ina tatizo mkuu...
nyuma ya keyboard kuna majanga we acha tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kila shetani ana mbuyu wakeTichi tichi tichi tichie mbona majangaa
Hebu tutafutane huwenda tunaendana mkuu.aah vibaya hivyo.hujui mwenyewe amependea nini?mbona mwenyewe umeweka picha ambayo sio yako?hongera mleta mada,mimi wangu yupo humuhumu,sibanduki ng'oo.
jf kwakweli ni furaha tupu hahahahahaha........mmh huyo hata haibiwi kabisaaa
Mkuu mbona unatokwa pofu sana, inaonekana ww ndio blessings mwenyewe na hii ni account yako nyingine, kuwa na amani acha kusikiliza ya watu, usitegemee kupata comments zitakazokufurahisha humu jf.Hili ni moja kati ya matatizo yetu makubwa Wabongo.
Kila kitu tunafanya kwa kuangalia jamii.
Ukitaka kumpendeza kila mtu maana yake hutampendeza kila mtu. Possibly hutampendeza yeyote.
Hata huyo mzuri hajulikani yukoje, utakayemuona wewe mzuri, mwingine atamkosoa.
Mwingine anaona kimbaumbau ndio mzuri, mwingine anaona tipwatipwa ndio mzuri, mwingine anaona shorty ndio mzuri, mwingine anaona super tall ndiye mzuri.
Sasa katika mazingira kama hayo ambayo hayana jibu moja la "mzuri", suala la uzuri aa hiwe muoaji, kwani yeye ndiye atakayeamka kila asubuhi akimuangalia mke wake.
Nyie wengine ni wapiga domo tu.
Mwanamme wa shoka hawezi ku criticize uzuri wa mke wa mwanamme mwingine.
Labda vivulana visivyojua siri za ndoa wala kwenda jando hata la kiakili tu.