HahahahaaaaAu mimi macho yangu ndio mabovu???
Ndugu, tunaendelea kwa kuchechemea, sina hamu na hii ndoa natamani nitoke tu, mke kabadilika balaa.Heri ya Mwaka Mpya Mhe. Blessings natumaini mnaendelea vema na maisha pamoja na familia. Najivunia kuwakutanisha wewe na mkeo. Muwe na maisha marefu muone wana wa wanenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu, tunaendelea kwa kuchechemea, sina hamu na hii ndoa natamani nitoke tu, mke kabadilika balaa.
** Suluhisho la haraka nimeamua kutafuna hausigeli, nikiwa najipanga na mambo ya divorce.
hilo sio suluhisho.Ndugu, tunaendelea kwa kuchechemea, sina hamu na hii ndoa natamani nitoke tu, mke kabadilika balaa.
** Suluhisho la haraka nimeamua kutafuna hausigeli, nikiwa najipanga na mambo ya divorce.