JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Mkuu mbona unatokwa pofu sana, inaonekana ww ndio blessings mwenyewe na hii ni account yako nyingine, kuwa na amani acha kusikiliza ya watu, usitegemee kupata comments zitakazokufurahisha humu jf.
Ukishaanza kuandika "inaonekana" unakuwa umeshaanza speculations.

Maadam ushaanza speculations, unaruhusiwa ku speculate hata kwamba mimi ni alien reptilian visitor from Jupiter.

Hukatazwi.

Lakini ku speculate hivyo hakunifanyi niwe alien reptilian visitor from Jupiter.

Hoja niliyotoa hujaijibu. Speculations ulizoleta, maadam ni speculations, zinaruhusiwa.
 
nyie endeleeni kuchonga sisi twala maisha, mtabaki single mpaka mnaingia kaburini.
 
Mbona mkeo kaa mbabe!! Ngoja urudi tena hapa ukisema UNAPIGWA NA MKEO
 
Tatizo waswahili mmekariri! Sisi twajilia vyetu. Nyie Endeleeni kuangalia sura na taqoz
 
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
dah!una maneno magunu na makali hebu punguza kidogo munkarI
 
Walikuwa wanakutafuta kumbe?

hongera sn mkuu

wife mzuri ile mbayaaa..umenihamasisha kwakweli
Mi lijanamke baya la hivyo hata bure sioi..[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
duuh kweli kila mtu ana flavor zake aisee! mi huyo wala hanistui kabisaaaaa.
We unadhani hapa Jf utapata mke mzuri..?
Labda demu mtafutaji wa pesa lakn mke wa kuoa ujue ndo wa type hiyo.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
kikubwa usiwe flata$$ kama miss chaga.
Kumbe "Mithi Chagga" ni Bibi Flati kama chaga za kitanda..?
Mi nlidhani ana chura kama "Mithi naniliu"[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
hongera kaka.na mimi tatuma maombi soon ya kutafuta mke jf,awe na sifa zifuatazo;a/umri 22, b/awe white mwenye mvuto, c/msomi d/awe na KAZI, e/tabia tutarekebishana.wahi mapema PM tafadhali.
Hata kama hana chura?
Sema mapema nkuunganishe na mlembo mmoja flati yupo hapa Jf alishatafutaga mme hajapata!
 
Ukiona mtu anatafuta mchumba au msebule mitandaoni jua mitaani halipi na walishamchoka kwa kuwa alijigeuza mvua kuwaondolea watu ukame au aliringa kwa ukaghai wa vipanga wachache sasa muda umemuacha inabidi asake mitandaoni !!
 
Back
Top Bottom