JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
IMG-20160201-WA0000.jpg
 
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
Hongera zake. Ila ajiandae vema yaonekana huyu mama ni baunsa, hapo ametabasamu sijui akinuna na kufura itakuwaje!
 
Hongera mkuu, ila kwakweli ulijilipua kama wafanyavyo wapalestina yan
 
Najua mtachonga sana na kupepesa midomo kama kasuku lakini ukweli ndo huo tunafurahia maisha na mke wangu mpendwa. Niichogundua JF kuna MIGUBE GUBE iliyokosa wenza/ndoa wao wakiona watu wamependana basi hujaa mate mdomoni kwa wivu/hasira.
 
Kwani kama mahaba yako yanataka bondia akudunde sisi haituhusu, wewe tu kwa raha zako. Kupigwa nayo ni sehemu ya raha na mahaba.
 
Nazipokea pongezi zenu kwa unyenyekevu mkubwa. Tupo pamoja. Amen.
 
Back
Top Bottom