JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

hongera kumbe mlitafutana kwa sura yake ilivyo ngumu ndo maana hata yye alixhelewa kupata w kumwoa cha kushukuru ni kwamba mmekutana watu wazima hamtasumbuana ila we ni mzuri kuliko mke wako ni shiiiidah
 
Mimi huwa wapo wadada nawaambiaga wataolewa wanabisha sasa wajionee humu mwenzao kawekwa ndani na anakaba kisawasawa sasa, ANGALIZO..Mkuu ukizingua tu mkeo akikukalia lazma kamasi likutoke
 
Hiyo pic ni yenu kweli au umeweka ya mfano kaka Blessings. Kama ni yenu basi kuna wanawake wenye bahati saaana
 
watu mnatabia chafu,sasa ww humpendi,mkeo? watu mamburura sana,kumbe jf ina makinda kiasi hiki?
 
Hongera mwaya naona best man anamwangalia mno huyo mdada aliyekaa hapo chini . Mmependezea sana hongera kwa mara nyingine baada ya miaka kadhaa mtakua mnafanana sijui kama kweli lkn manake watu husema watu wakikaa pamoja muda mrefu hufanana hasa wanandoa.
nani atafanana n.a. mwenzie sasa hapo
 
2f8bf939d5b78526b9ba9d77dbf9e186.jpg



Huyu si ndo aliyechepuka na Mchepuko kudai kasahau pete ya ndoa hotelini? Ahahahahaa na akasema mkewe hajishughulishi kitandani kisa kuzaa watoto wawili? Ndo maana basi akachepuka jamani mlio olewa wapeni waume zenu mambo moto moto mkizubaaa wa nje wamejaaa 24/7 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom