Wanaocheka ni wanaume sio wanawake.Wanaocheka ukiona hivyo hawajaolewa wanafanyiwa majaribio afu wanaolewa wengine. Nawafananisha na wachezaji wanaofanya mazoez afu match anapangwa mwingine. Poleni kwa ambao hamjaolewa inawezekana rizki yako ilikuja lkn unachagua sana.
Umeadimika shkamoo mwenyekiti...Kweli kila.shetani na mbuyu wake.
Ha ha ha ha khaaaaMke ni pambo la ndani ila sidhani kama huu usemi utakuwa applicable kwa kaka blessings.
Surely love is blind
Ukute Avatar yake ni nzuri kama beyonce, Mwe ipo haja wana JF kutumia real picture badala ya Avatar za uongo. Unaweza ukaingia chaka hivi hivi kama mdau.
Mke ni pambo la ndani ila sidhani kama huu usemi utakuwa applicable kwa kaka blessings.
Surely love is blind
aah vibaya hivyo.hujui mwenyewe amependea nini?mbona mwenyewe umeweka picha ambayo sio yako?hongera mleta mada,mimi wangu yupo humuhumu,sibanduki ng'oo.Ukute Avatar yake ni nzuri kama beyonce, Mwe ipo haja wana JF kutumia real picture badala ya Avatar za uongo. Unaweza ukaingia chaka hivi hivi kama mdau.
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha
Kumbe tupo wengi?Hii ni thread ambayo imenivunja mbavu, nimabaki speechless....
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha
vipi kwani ulimmwaga jamaa kachukua!Kweli ukisema Cha nini? wenzio wanasema watakipata lini.............!!!!