SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,808
- Thread starter
- #461
Acheni maneno ya shombo nyie! mbona nyie hamuonyeshi migume gume yenu iliyomshinda mtume?
Acha zako ww uliyemuumba ww mwenye sura laini yupo wapi, vile vile ww unaweza ukamuweka wako hapa watu wakaona anasura nzito kama zege Lillilo lala , acha unyambulusi banammh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
Kwa nyuzi izo eti na alisema alimpata jf.jf I'd fake hadi mada fake shwain![]()
Huyu si ndo aliyechepuka na Mchepuko kudai kasahau pete ya ndoa hotelini? Ahahahahaa na akasema mkewe hajishughulishi kitandani kisa kuzaa watoto wawili? Ndo maana basi akachepuka jamani mlio olewa wapeni waume zenu mambo moto moto mkizubaaa wa nje wamejaaa 24/7 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzuri wa mke ni Tabia sio suraDu! ni ngumu kutamka lakini hata mimi nampongeza kwa kupata mke,japo naamini kuwa uzuri wa mke anaujua mume wake lakini kwangu mimi mke wa mshikaji siyo mzuri sijamkubari mungu anisamehe.
Kaka mkuu vijana wanataka feedback ya ndoa...Mozambicana motooo
Asante Ndg./Bw./Bi. leunamme kwa pongezi. Tunaendelea vema natafuta mtoto wa nne sasa. Karibu sana nyumbaniHebu nikuone mrembo maana me mwenyewe natafuta mke
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app