JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.

Weka wa kwako watu waone sura yake laini kama....
 
MashaAllah, Mzidishiwe kila la kheri katika ndoa yenu na InshaAllah Mwenyeezi Mungu awajulisheni ukweli kuwa Mungu ni mmoja tu hajazaa wala kuzaliwa, mtoke kwenye kiza na muingie kwenye nuru ya kujisalimisha (Islam) kwake tu.

wewe bibi umepotea njia mambo ya uislamu yanakujaje hapa!?? kadoda11 Matola njoeni mumchukue huyu bibi yenu. Majini yatakuwa yameshampanda
 
Last edited by a moderator:
MashaAllah, Mzidishiwe kila la kheri katika ndoa yenu na InshaAllah Mwenyeezi Mungu awajulisheni ukweli kuwa Mungu ni mmoja tu hajazaa wala kuzaliwa, mtoke kwenye kiza na muingie kwenye nuru ya kujisalimisha (Islam) kwake tu.
Mh. Eti FaizaFoxy ushaolewa wewe? Maana mi mtandio wako na koment zako zinafanaana. Hope we ni mke mwema.
 
Last edited by a moderator:
Dah kumbe duniani kila mtu anamwenzake nilidhani kuna watu hawana wenza dah!Bora nikaege hivi hivi!
 
yes mke ni pambo la ndani
kwake sio kwako hujawai kupenda wewe,kk blessing kapata chaguo lake
hujalazimishwa kumkubali pita kimya au kuifanya stori fupi muweke wa
kwako!!!!

Basi kama hilo kwake ndo pambo then sio mchaguaji mzuri wa mapambo coz what I think about mapambo atleast 75% should admire that pambo but hili la kaka blessings mhh hapana kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom