iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,954
- 1,504
Hongera mwaya naona best man anamwangalia mno huyo mdada aliyekaa hapo chini . Mmependezea sana hongera kwa mara nyingine baada ya miaka kadhaa mtakua mnafanana sijui kama kweli lkn manake watu husema watu wakikaa pamoja muda mrefu hufanana hasa wanandoa.
Afu na wewe una vitendawili vigumu... Ila Carolite ipo pale penye ugumu inafanya wepesi