JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Kwa nini habari ya ndoa ambayo ni makubaliano ya watu wawili ikihemeshe wewe mtu wa tatu kuhusu uzuri wa mke?

Unamtaka wewe huyo mke?

Au wewe ndiye ulitaka kuolewa badala yake?

Wanaume wanapoamua.kuoa.huangalia.vitu vingi, na wewe huwezi kujua mwenzako katangaza ndoa hapo kwa sababu gani.

Certainly you can't tell that from a photo.
Unanitafutia ban ila mimi sikutukani ila ukweli unabaki palepale haiwezekani! kila kitu utakacho kifanya tegemea jamii inaona hivyo jamii ni sisi lazima tuseme mtetee ila mimi siyo muumba ila angeoa kimya kimya kama jinsi akutushirikisha katika harusi vivyohivyo asitushirikishe katika picha mbona wewe ujaweka picha ya mwenza wako?
 
ahhh ndugu yangu hata ukivaa nguo mbaya old fashioned watu watakukosoa
tu japo nguo umeivaa wewe na wao haiwadhuru chochote kwahyo we cant
prevent ourselves from comments and criticisms from others

Kutoa criticism kwenye suala la uzuri wa mke wa mtu kunaonyesha ufupi wa akili, ukosefu wa malezi mema na uhaba wa shughuli muhimu.
 
Hongera sana mkuu blessings.Naona wengine wanataka uzuri wa mkeo wa uone wao.
Hongera
 
Unanitafutia ban ila mimi sikutukani ila ukweli unabaki palepale haiwezekani! kila kitu utakacho kifanya tegemea jamii inaona hivyo jamii ni sisi lazima tuseme mtetee ila mimi siyo muumba ila angeoa kimya kimya kama jinsi akutushirikisha katika harusi vivyohivyo asitushirikishe katika picha mbona wewe ujaweka picha ya mwenza wako?

Hili ni moja kati ya matatizo yetu makubwa Wabongo.

Kila kitu tunafanya kwa kuangalia jamii.

Ukitaka kumpendeza kila mtu maana yake hutampendeza kila mtu. Possibly hutampendeza yeyote.

Hata huyo mzuri hajulikani yukoje, utakayemuona wewe mzuri, mwingine atamkosoa.

Mwingine anaona kimbaumbau ndio mzuri, mwingine anaona tipwatipwa ndio mzuri, mwingine anaona shorty ndio mzuri, mwingine anaona super tall ndiye mzuri.

Sasa katika mazingira kama hayo ambayo hayana jibu moja la "mzuri", suala la uzuri aa hiwe muoaji, kwani yeye ndiye atakayeamka kila asubuhi akimuangalia mke wake.

Nyie wengine ni wapiga domo tu.

Mwanamme wa shoka hawezi ku criticize uzuri wa mke wa mwanamme mwingine.

Labda vivulana visivyojua siri za ndoa wala kwenda jando hata la kiakili tu.
 
Hongera.Siku hizi umekuwa Mungu unaumba watu na unapanga wa kuolewa na wakutoolewa.
Huyo unayemcheka ni mtoto wa mwanaume mwenzio.Isitoshe hujafa hujaumbika.Bado tunasafiri duniani.Any time sura yako inaweza kufinyangwa upya..

Pole nimejikuta maneno haya yananitoka tu! Lakini mhm kunawatu wanamoyo wa nazi mhm nibora waniite jioga la wanawake!
Usimpoteze mwenzio kabugi akialikwa kwenye afla yenye adhi wahudumu wanapita bila kumuuliza kama anakunywa vinywaji!
Chochote watakachokuwa wanapeana bado haiwezi kubadilisha mwonekano wa mandhari!
 
hongers mkuu mungu awape watoto na baraka tele nb fanya yako mungu kapanga hakuna wakupangua mkuu wewe ndio uliomba na mungu kakupa .:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Hili ni moja kati ya matatizo yetu makubwa Wabongo.

Kila kitu tunafanya kwa kuangalia jamii.

Ukitaka kumpendeza kila mtu maana yake hutampendeza kila mtu.

Hata huyo mzuri hajulikani yukoje, utakayemyona wewe mzuri, mwingine atamkosoa.

Mwingine anaona kimbaumbau ndio mzuri, mwingine anaona tipwatipwa ndio mzuri, mwingine anaona shorty ndio mzuri, mwingine anaona super tall ndiye mzuri.

Sasa katika.mazingira kama hayo ambayo hayana jibu moja la "mzuri", suala la uzuri aa hiwe muoaji, kwani yeye ndiye atakayeamka kila asubuhi akimuangalia mke wake.

Nyie wengine ni wapiga domo tu.

Mwanamme wa shoka hawezi ku criticize uzuri wa mke wa mwanamme mwingine.

Labda vivulana visivyojua siri za ndoa wala kwenda jando hata la kiakili tu.
Sijui ni kwanini unatumia nguvu kiasi hiki maana kama niwewe ulitumia multiple ID Pole sana maana energy uliyoitumia sasa sina cha kuongeza!
 
mke ni pambo la ndani ila sidhani kama huu usemi utakuwa applicable kwa kaka blessings.
Surely love is blind
hivi nani kakwambia watu wote wanao mke hili kupamba nyumba?

Hivi ni kweli kila kizuri kwako ni kizuri kwa wote?

Yani hili ndilo pekee unalo fikiri kuhusu umuhimu wa mke?

Kumbe wengine mnaoa hili mfanye maonesho?
 
Hongera.Siku hizi umekuwa Mungu unaumba watu na unapanga wa kuolewa na wakutoolewa.
Huyo unayemcheka ni mtoto wa mwanaume mwenzio.Isitoshe hujafa hujaumbika.Bado tunasafiri duniani.Any time sura yako inaweza kufinyangwa upya..

Wengine wanaopiga kelele hapa hali zao na za wake zao afadhali hata ya huyo bi harusi ambaye angalau anaweza kusema hatumii mkorogo watu tukamuamini Miss Bantu natural.
 
Du Hata mimi nahitaji mke awe mrefu msomi mwenye kilo 70 kushuka MPK 50
KWA MAWASILIANO PIGA 0719164059 KWA WALIO SERIOUS TU.
 
Sijui ni kwanini unatumia nguvu kiasi hiki maana kama niwewe ulitumia multiple ID Pole sana maana energy uliyoitumia sasa sina cha kuongeza!

Hahahaha,

Mimi sijaingia mkenge wa kuoa bado.

Nasisitiza kupinga ujinga wa watu kuingilia ndoa za wengine kwa kujifanya ma beauty critics wakati beauty critic anaye matter hapa ni mmoja tu, kidume aliyetangaza na kufunga ndoa.
 
Back
Top Bottom