JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

daha watu wanachaguaje wenza huyo mwanamke mvuto upo chini sana...kweli kipenda roho......
 
Hongera mwaya naona best man anamwangalia mno huyo mdada aliyekaa hapo chini . Mmependezea sana hongera kwa mara nyingine baada ya miaka kadhaa mtakua mnafanana sijui kama kweli lkn manake watu husema watu wakikaa pamoja muda mrefu hufanana hasa wanandoa.

sasa mwenzio mie nikaanza kukata kona nikijua Blessing ndo wewe Ablessed nikataka kumuuliza ivi umeanza kushea Id na mkeo??
kumbe ningeingia chaka la michongoma.

af ujue mwandiko wako unasomeka kwa wachache sana.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli naamini katika umoja ni nguvu 1% watakapogundua ni sawa ni kijito kinachotoa maji baharini kuweka nnchi kavu
watakapoa toa nnchi kavu na kuweka baharini haitakuwa too late kwao maana 99% wanaongozwa na upendo zaidi usihofu

Hahahaa, kuongozwa na upendo zaidi hakuruhusu ubaguzi wa hawa 1% na hawa %99, huyu mke wake mzuri, yule mbaya.

Huo ni ubaguzi uliojikita katika shallow notions.

Especially kama mbondaji si muoaji wa huyo mwanamke.

Wanawake wote wazuri, tatizo matunzo.

Kama Oprah Winfrey kakubalika kuwa star wa TV Marekani miaka yote hiyo mpaka kawa bilionea mkubwa, na kapigwa soap soap mpaka kadumu kwenye TV nchi iliyo image conscious kama Marekani hata huyu mke naye anaweza kupigwa soap akatokea vyovyote.

Kama Lupita Nyong'o kawapa nyama ya ulimi Hollywood mpaka wamemkubali ingawa hana lolote lililo especially striking physically (her ability to communicate and inspire with a keen adaptability is something else altogether) na kuwa voted the most beautiful woman na People magazine, a highly coveted spot, then that shows us that beauty is not only skin deep.

Unaweza kuoa mke anayekubalika mzuri, ukawa humpi matunzo stahili wala nyama ya ulimi, akakongoroka mpaka ikawa hatari.

Na unaweza kuoa mke asiyekubalika uzuri, mwanamme ukampa matunzo stahili na nyama ya ulimi, akang'ara mpaka hao waliomsema mbaya wakaanza kumtamani.

Peace and love reigns above all.

Cc Nyani Ngabu
 
mkuu nakuona upo Mura........
 
sasa mwenzio mie nikaanza kukata kona nikijua Blessing ndo wewe Ablessed nikataka kumuuliza ivi umeanza kushea Id na mkeo??
kumbe ningeingia chaka la michongoma.

af ujue mwandiko wako unasomeka kwa wachache sana.
Hahahahahah yaani umenifanya nicheke mpaka basi , ndugu yangu mimi si huyo Blessing duh mbona ungeingia chaka. Kiukwei huyo mdada kajaaliwa si mwenyewe umemuona alivyotokelezea mimi simpati hata kwa mbali .
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi umejaa methali...
"Ukisema cha nini, wenzio wanasema watakipata lini"...
"Kila shetani na mbuyu wake"
Kimfaacho mtu chake"...
 
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha

blessings, huyu mke wako ni kama umenunua Toyota hilux surf -ni wa kwako daima!
 
Hahahahahah yaani umenifanya nicheke mpaka basi , ndugu yangu mimi si huyo Blessing duh mbona ungeingia chaka. Kiukwei huyo mdada kajaaliwa si mwenyewe umemuona alivyotokelezea mimi simpati hata kwa mbali .

shostito ulimbwende wake hakuna mfanowe atiii.

ila twende mbele turudi nyuma walio mfanyia make up wameharibu uzuri na sura yake....................sina ubia chonde
 
Huu uzi umejaa methali...
"Ukisema cha nini, wenzio wanasema watakipata lini"...
"Kila shetani na mbuyu wake"
Kimfaacho mtu chake"...

mie namalizia hivi yeye apataye mke apata chombo chema tena ajipatia kibali machoni pa Bwana.

so huyu Blessing kapata chombo chema sana na anakibali hivyoo machoni pa Bwana
 
Last edited by a moderator:
Basi kama hilo kwake ndo pambo then sio mchaguaji mzuri wa mapambo coz what I think about mapambo atleast 75% should admire that pambo but hili la kaka blessings mhh hapana kwa kweli[/QUOTE kwani pambo si kitu kinachoshutua sio lazma kiwe kinangaa ila kiwe kina badili muonekano
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, kuongozwa na upendo zaidi hakuruhusu ubaguzi wa hawa 1% na hawa %99, huyu mke wake mzuri, yule mbaya.

Huo ni ubaguzi uliojikita katika shallow notions.

Especially kama mbondaji si muoaji wa huyo mwanamke.

Wanawake wote wazuri, tatizo matunzo.

Kama Oprah Winfrey kakubalika kuwa star wa TV Marekani miaka yote hiyo mpaka kawa bilionea mkubwa, na kapigwa soap soap mpaka kadumu kwenye TV nchi iliyo image conscious kama Marekani hata huyu mke naye anaweza kupigwa soap akatokea vyovyote.

Kama Lupita Nyong'o kawapa nyama ya ulimi Hollywood mpaka wamemkubali ingawa hana lolote lililo especially striking physically (her ability to communicate and inspire with a keen adaptability is something else altogether) na kuwa voted the most beautiful woman na People magazine, a highly coveted spot, then that shows us that beauty is not only skin deep.

Unaweza kuoa mke anayekubalika mzuri, ukawa humpi matunzo stahili wala nyama ya ulimi, akakongoroka mpaka ikawa hatari.

Na unaweza kuoa mke asiyekubalika uzuri, mwanamme ukampa matunzo stahili na nyama ya ulimi, akang'ara mpaka hao waliomsema mbaya wakaanza kumtamani.

Peace and love reigns above all.

Cc Nyani Ngabu

besides everything, huyu mwanamke kapambwa vibaya lkn si kwamba ni mbaya kama watu wengi wanavyo dhani.
hapa mabibi harusi watarajiwa wajifunze jambo hasa hawa wanaopita humu jf unless kama nao ni wale wakifungua jf wanasoma kiushabiki pasi kujifunza.

jins mwanamke ajipambavyo/apambwavyo kunaweza kubadili kabisa mwonekano wake mzuri na kumfanya aonekane tofauti. Mathalan mdada iyo lipstick imepakwa kwa namna ambayo imevimbisha/kuza lips zake na hivyo mdomo ukaonekana mkubwa sana, so kosa lipo kuanzia kwenye rangi ya lipstic yenyewe hadi kewnye jins alivyopakwa.

ukienda mbali zaid the color of her dress is not her color na hapa andipo maharusi wanapochemka, wataalam wa urembo husema kila binadam ana rangi inayompendeza zaid na rangi isiyompendeza vilevile. sasa ushabiki wa kusema kisa pearch/carrot ni rangi ya mwaka basi na mie nivae kumbe wewe hiyo haiwez kukutoa kama ukivaa light blue ama green. na huu ndio ulimbuken mwingine ma bibi harusi huufanya kisa tu ni rangi ya mwaka basi unataka kuivae bila kujikagua.

kibaya kingine maharusi wengi hawajui design za nguo za kuwapendeza na pia kwa desturi za kibongo mtu hujiendea tu kkoo (walio wengi) wakashona bila kujua kama huyu fundi anaweza kweli aka mtengenezea nguo ya kumpendeza, ikakaa vizuri mwilin n.k. kwasababu mara nyingi sana fundi alozoea kukushonea nguo huweza kuijua shape yako na akaitengeneza nguo inayokufit kuliko fundi wa asokujua. at least for me this works.
 
Back
Top Bottom