JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

^^
Una bahati sana, kupata Mke Mwema kizazi cha leo, msifu Mungu
^^
 
hongera sana. .duh umenihamasisha nitafute hapa na me nivae shela heheh
 
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.

Mkuu ujue bado unazaa so,muombe msamaha Mungu wako,,,any way hao wenye sura hizo ndio wanaoolewa kwa wingi we endelea kuchagua.
 
Hongereni sana kumbukeni maombi na kumtegemea Mungu ndio silaha yenu kuu kwenye kila jaribu
 
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha

Sina lakusema! Ngoja nipite hapa kimya kimya tu.
 
mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.

Du! ni ngumu kutamka lakini hata mimi nampongeza kwa kupata mke,japo naamini kuwa uzuri wa mke anaujua mume wake lakini kwangu mimi mke wa mshikaji siyo mzuri sijamkubari mungu anisamehe.
 
Hongera mkuu, sitaki kuuliza ulimpendea nini
 
Hahhhahhhhahhhhahhhhahhha sitii neno zaidii
 
mapema mno kuja kutoa shukurani hapa subiri muda uende usije tena ukaja unalialia hapa
 
Back
Top Bottom