JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Hongeren maharusi ijapokuwa uhalali wa picha unatia mashaka kama imechukuliqa blog flani hivi
 
Wewe huenda sura yako ndo mbaya.Hebu weka picha yako tuone kama una ujasiri

Hahahaha nicheki apo kwa avatar afu mimi ni male upande wa fesi hakuna matter
 
Hahaha,

Kwa hiyo kuijaza nchi mpaka kuoa?

Miaka yote hii binadamu walivyozaliana mpaka kuijaza dunia kulikuwa na ndoa?

Walivyoagizwa na nani?

Na hao masista na mapadri watakuwaje viongozi wa kiroho katika masuala ya ndoa bila ya kuwa katika ndoa?

hiyo miaka unayosema imeshapita zilikuwa zama za mawe na si sasa kipindi kile binadamu alikuwa hajajitambua nakujiunga na ile 99% kwa hiyo hata heshima na utu vilikuwa si sana ndo maana walikuwa wanavaa magome lakini sasa twavaa nguo lazima tukubali mabadiliko huwezi kuzaa na kuzaliana kama wanyama lazima tujitofautishe ndo hapo kitu NDOA kikaja ili kutujengea heshima tuijaze nnch kwa mpango na malengo
 
hiyo miaka unayosema imesgapita zilikuwa zama za mawe na si sasa kipindi kile binadamu alikuwa hajajitambua nakujiunga na ile 99% kwa hiyo hata heshima na utu vilikuwa si sana ndo maana walikuwa wanavaa magome lakini sasa twavaa nguo lazima tukubali mabadiliko huwezi kuzaa na kuzaliana kama wanyama lazima tujitofautishe ndo hapo kitu NDOA kikaja ili kutujengea heshima tuijaze nnch kwa mpango na malengo

Kama kweli mnaheshimu ndoa hivyo, inakuwaje kuhoji uzuri wa mwanamke aliyechaguliwa na mwanamme kuingia katika ndoa yao mnayoiheshimu sana?

Kati yangu ninayesema mwanamme anayeoa ndiye mwenye maamuzi kama mke wake ni mzuri ama la na hawa wanaobeza uzuri wa mke wa mtu baki, mtu ambaye hata hawamjui, nani anaheshimu ndoa na nani anabeza ndoa hapa?

Some of these questions are multidimensional and looking at them with a one track approach does not do them justice.
 
Kama kweli mnaheshimu ndoa hivyo, inakuwaje kuhoji uzuri wa mwanamke aliyechaguliwa na mwanamme kuingia katika ndoa yao mnayoiheshimu sana?

Kati yangu ninayesema mwanamme anayeoa ndiye mwenye maamuzi kama mke wake ni mzuri ama la na hawa wanaobeza uzuri wa mke wa mtu baki, mtu ambaye hata hawamjui, nani anaheshimu ndoa na nani anabeza ndoa hapa?

mimi si miongoni mwa hao waliobeza
lakini muoaji ajue yuko ndani ya jamii na sikuzote jamii iliyokuzunguka haiwezi kusifia jambo kwa asilimia 100% lazima akubali na kukosolewa kwasababu jamii ina viwango vyake vya uzuri na haimaniishi wakikosoa wanamrudisha mtu nyuma ni mtizamo wao tu ni kama upepo uvumao kwenda kaskazini ukirudi kusini utarudi na vumbi jipya
 
Hongera sana kaka blessings
Mpende mkeo na umjali.
Nawatakia kila la kheri, Mungu awe nanyi.
 
Last edited by a moderator:
mimi si miongoni mwa hao waliobeza
lakini muoaji ajue yuko ndani ya jamii na sikuzote jamii iliyokuzunguka haiwezi kusifia jambo kwa asilimia 100% lazima akubali na kukosolewa kwasababu jamii ina viwango vyake vya uzuri na haimaniishi wakikosoa wanamrudisha mtu nyuma ni mtizamo wao tu ni kama upepo uvumao kwenda kaskazini ukirudi kusini utarudi na vumbi jipya

Chaguo lolote atakalofanya kuna watu katika jamii watasifia na wengine katika jamii watabeza.

Sasa tukikubali hilo, kwa sababu muoaji ndiye ataamka na mke wake karibu kila siku asubuhi, ni haki yake kuutafuta uzuri atakaoona yeye unamfaa.

Wengine kuingilia sana mnaweza kuambiwa mna wivu mlitaka kuolewa nyie, wanawake kwa wanaume.
 
sentensi za mwisho nahisi unakoelea siko mwanaume atake kuolewa tena???? mhhhhhhh hapo no comment ujumbe wako utawafikia
 
sentensi za mwisho nahisi unakoelea siko mwanaume atake kuolewa tena???? mhhhhhhh hapo no comment ujumbe wako utawafikia

Sasa mwanamme mzima kuanza kutoa maksi za uzuri wa mwanamke, mke wa mwanamme mwenzako, maana yake nini?

Bora hata mwanamke anaweza kusema anataka kuwa mke wa pili aongeze uzuri katika nyumba.
 
Sasa mwanamme mzima kuanza kutoa maksi za uzuri wa mwanamke, mke wa mwanamme mwenzako, maana yake nini?

Bora hata mwanamke anaweza kusema anataka kuwa mke wa pili aongeze uzuri katika nyumba.

kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake
 
Hahahahahah dah hongera sana!kipendacho roho hula nyama mbichi..muish kwa aman na upendo!
 
Na mimi nami ni kati ya hao wenye uhuru, hata kama nipo kwenye one percenters.

hahaha jua na mvua vyote ni muhimu ingawa havipendani ikija mvua jua lajificha and viceversa wote ni muhimu tunahitajiana 1% anamuhitaji 99% ili kupata 100% and vice versa
 
Toka mwezi huu uanze sijawahi kucheka kama leo ahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
hahaha jua na mvua vyote ni muhimu ingawa havipendani ikija mvua jua lajificha and viceversa wote ni muhimu tunahitajiana 1% anamuhitaji 99% ili kupata 100% and vice versa

Hata sumaku hazivutani kusi kwa kusi.
 
Hata sumaku hazivutani kusi kwa kusi.

ni kweli naamini katika umoja ni nguvu 1% watakapogundua ni sawa ni kijito kinachotoa maji baharini kuweka nnchi kavu
watakapoa toa nnchi kavu na kuweka baharini haitakuwa too late kwao maana 99% wanaongozwa na upendo zaidi usihofu
 
duuh kweli kila mtu ana flavor zake aisee! mi huyo wala hanistui kabisaaaaa.

Daaaaaaa!!!!we mtu acha hizo bana, mbavu za plastic hazitakubali kufit naomba usizivunje nilizonazo
 
Back
Top Bottom