JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Hata hivyo mi nimefarijika kama huyo dada kapata mume hb kama kaka blessings kumbe one day na mimi nitaolewa pamoja na sura yangu hii.

Utaolewa tu usijali.Mimi mwenyewe ninampango wa kuoa lakini mimi siangalii sura wala umbile bali mimi naangalia tabia .Je hatuwezi kufungua ukurasa mpya wa mahusiano kati yangu mimi na wewe.
 
Last edited by a moderator:
besides everything, huyu mwanamke kapambwa vibaya lkn si kwamba ni mbaya kama watu wengi wanavyo dhani.
hapa mabibi harusi watarajiwa wajifunze jambo hasa hawa wanaopita humu jf unless kama nao ni wale wakifungua jf wanasoma kiushabiki pasi kujifunza.

jins mwanamke ajipambavyo/apambwavyo kunaweza kubadili kabisa mwonekano wake mzuri na kumfanya aonekane tofauti. Mathalan mdada iyo lipstick imepakwa kwa namna ambayo imevimbisha/kuza lips zake na hivyo mdomo ukaonekana mkubwa sana, so kosa lipo kuanzia kwenye rangi ya lipstic yenyewe hadi kewnye jins alivyopakwa.

ukienda mbali zaid the color of her dress is not her color na hapa andipo maharusi wanapochemka, wataalam wa urembo husema kila binadam ana rangi inayompendeza zaid na rangi isiyompendeza vilevile. sasa ushabiki wa kusema kisa pearch/carrot ni rangi ya mwaka basi na mie nivae kumbe wewe hiyo haiwez kukutoa kama ukivaa light blue ama green. na huu ndio ulimbuken mwingine ma bibi harusi huufanya kisa tu ni rangi ya mwaka basi unataka kuivae bila kujikagua.

kibaya kingine maharusi wengi hawajui design za nguo za kuwapendeza na pia kwa desturi za kibongo mtu hujiendea tu kkoo (walio wengi) wakashona bila kujua kama huyu fundi anaweza kweli aka mtengenezea nguo ya kumpendeza, ikakaa vizuri mwilin n.k. kwasababu mara nyingi sana fundi alozoea kukushonea nguo huweza kuijua shape yako na akaitengeneza nguo inayokufit kuliko fundi wa asokujua. at least for me this works.

Asante dada mkubwa, toa somo.

Tunarudi kulekule kwenye matunzo.
 
Hongereni sana wana ndoa,mcheni Mungu nae atazidi kuwapigania na kuwavusha katika changamoto zote za ndoa na maisha yenu kwa ujumla.
 
shostito ulimbwende wake hakuna mfanowe atiii.

ila twende mbele turudi nyuma walio mfanyia make up wameharibu uzuri na sura yake....................sina ubia chonde
Kweli mpambaji ameharibu , lkn wenyewe wametokelezea mno na nimeipenda walivyochanganya rangi si umeona eeeh. Pia mdada anaonekana ni mtu mwenye furaha sana kiukweli nawaombea kheri tu ktk maisha yao.
 
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha

best dalali wa minada pale nyuma waterfront
 
Hongereni kwa ndoa. watu wa makeup, hairstyle hawakumtendea haki bibi harusi.
 
Du! ni ngumu kutamka lakini hata mimi nampongeza kwa kupata mke,japo naamini kuwa uzuri wa mke anaujua mume wake lakini kwangu mimi mke wa mshikaji siyo mzuri sijamkubari mungu anisamehe.

huyo mwanamke ubaya wake nn nyie waswahili wanafiki sana mara oooh mwanamke astumie mkorogo mara nn...haya hapo cha ajabu n nn au mwili na mbona mwili wake wala c mkubwa kiviile...beauty is in the eyes of the beholder. kila mtu ana ubavu wake hapa dunian we utaposema cha nn wenzako wanawaza watakipata lin na wakikipata wanatulia life inasinga we unabaki kodo na vibeauty queen vyako polee ndoa n zaid ya mwonekano wa nje kalaga baho
 
Wana JF acheni wivu naona mnachonga sana humu nishasema siwataki tena nimepata mke mwema ANAYENIPENDA & NA KUNIHESHIMU. sitaki vicheche (Michepuko) ya JF.
 
Back
Top Bottom