Du! ni ngumu kutamka lakini hata mimi nampongeza kwa kupata mke,japo naamini kuwa uzuri wa mke anaujua mume wake lakini kwangu mimi mke wa mshikaji siyo mzuri sijamkubari mungu anisamehe.
aaah Kaka blessings Mungu kambless kweli......
Hakuna mtu mbaya mkuu wote ni sawa ila macho ya binadamu ndo yanaweka tofauti.....
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha
Kweli mkuu.....Kaka kapenda.......Hahhhahhhhahhhhahhhhahhha sitii neno zaidii
Naona Mkuu bado unasherehekea Ndoa.......Hahahahaaaaa umenifanya nicheke asubuhi ahsante.
you will never walk alone Mkuu kwenye hii Dunia.......ipo siku tutasherehekea harusi yako pia......Hata hivyo mi nimefarijika kama huyo dada kapata mume hb kama kaka blessings kumbe one day na mimi nitaolewa pamoja na sura yangu hii.
Ukute Avatar yake ni nzuri kama beyonce, Mwe ipo haja wana JF kutumia real picture badala ya Avatar za uongo. Unaweza ukaingia chaka hivi hivi kama mdau.mmh! hongera ila mkeo huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu kama ana pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.