JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Jamii zote zilizoendelea zimepata kuendelea kwa kujali faragha na maamuzi ya watu binafsi. Hata wanapokuwa tofauti na jamii.

Hivyo ndivyo watu walivyopata kujua kwamba dunia si bapa bali ni tufe karibu na mduara.

Hivyo ndivyo watu walivyogundua kwamba jua halizunguki dunia, bali dunia inazunguka jua.

Hivyo ndivyo watu walivyogundua kwamba muda si kitu kimoja kwa ulimwengu mzima (I am not talking about time zones, rather Einstein's relativity) na unategemea kasi na sehemu ya mtazamaji.

Kama binadamu angekuwa anaaangalia na kuheshimu taratibu za jamii muda wote, tungekuwa bado tunaishi mapangoni na hata moto hatujagundua mpaka leo.

Kwa sababu hata ugunduzi maana yake ni kuibua kitu kipya na tofauti, ambacho hakijakubalika wala kujulikana na jamii.

Kwa hivyo, kama jamii inataka kuendelea, haina budi kuwakubali qanaoenda tofauti nayo na ku challenge maoni fulani ambayo yanaonekana kuwa kweli kama injili.

Kwa sababu kushikilia maoni ya jamii kwa sababu ni ya jamii tu kungetufanya tuamini dunia ni bapa na inazungukwa na jua mpaka leo.

usikariri kila kitu kinahitaji mabadiliko vingine ni maagizo kutoka kwa muumba mbingu na nnchi huku duniani ni utekelezaji wake tu mfano NDOA ukienda kinyume huendi kinyume na jamii tu bali mungu pia
NB
isipokuwa kwa wasioamini ambao ni 1% kati 99%
 
Muumba mbingu na nchi ni nani?

Una uthibitisho gani kwamba aliumba mbingu na nchi?

Talking about kukariri, since you brought that up, haya ya muumba mbingu na nchi unayajua mwenyewe au umekariri mapokeo tu?
 
Mmmmm 😕😕😕 ati hapo ndo karembwa?:what: akitoka kuamka anakuaje?
 
wadada wa hivi wanakuwa watamu sana .
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha
 
hivi nani kakwambia watu wote wanao mke hili kupamba nyumba?

Hivi ni kweli kila kizuri kwako ni kizuri kwa wote?

Yani hili ndilo pekee unalo fikiri kuhusu umuhimu wa mke?

Kumbe wengine mnaoa hili mfanye maonesho?

Mi mdada sioi naolewa na ukweli utabaki kuwa ukweli mke ni pambo ndani ya nyumba
 
Muumba mbingu na nchi ni nani?

Una uthibitisho gani kwamba aliumba mbingu na nchi?

Talking about kukariri, since you brought that up, haya ya muumba mbingu na nchi unayajua mwenyewe au umekariri mapokeo tu?

wewe ni miongoni mwa hiyo 1% hapo juu
ambao hata kama mnaishi katika ulimwengu wenu jamii hamuitambui na haiwatambui
 
wewe ni miongoni mwa hiyo 1% hapo juu
ambao hata kama mnaishi katika ulimwengu wenu jamii hamuitambui na haiwatambui

Obviously umenitambua mpaka kujibizana nami mara zote hizi.

Au na wewe ni 1% mwenzangu?

Thank you for the compliment by the way.

Being thought of as in the 1% is no small feat.

If you know anything about the "bell curve" you will know where that 1% stands.
 
hahaha mimi siwezi kuwa 1% mwenzako mimi niko kwenye 99% ambapo binadamu aliekamilika apitie hatua hizi KUZALIWA KUOA/OLEWA ,KUZAA NA KUFA
 
hahaha mimi siwezi kuwa 1% mwenzako mimi niko kwenye 99% ambapo binadamu aliekamilika apitie hatua hizi KUZALIWA KUOA/OLEWA ,KUZAA NA KUFA

Kwa hiyo binadamu wote ambao hawajaoa/ olewa kwa sababu moja au nyingine hawajakamilika?
 
sababu iwe ya msingi sana na ambayo jamii imeikubali mfano upadri na nyingine za msingi

Hahaha,

Ushaanza ku qualify qualify mambo.

Maana yake habari nzima ya kuoa/kuolewa si ya msingi.
 
kaka hongera sana, mke ni kifaa, kweli mahaba nipe upofu mie kama mzee matonya.
 
Hahaha,

Ushaanza ku qualify qualify mambo.

Maana yake habari nzima ya kuoa/kuolewa si ya msingi.

kuoa/olewa ni ya msingi kwa wale 99% unadhani wataijaze nnchi kama walivyoagizwa
isipokuwa kwa masista na padri ambao pia wanafuata maagizo kutoka kwa mkuu wa hao 99%
 
Kiingereza wanasema "one man's poison is another's meat".

Utasema mwanamke huyu mbaya, wengine wataona afaa kujenga kaya.
Nashukuru ya kuwa umemjibu real toxic.......hum JF wakati mwengine unatakiwa kuwa mvumilivu tu...........kwa maana maswali mengine huwezi fikiri kuwa yanatoka kwa Binadamu........
 
kuoa/olewa ni ya msingi kwa wale 99% unadhani wataijaze nnchi kama walivyoagizwa
isipokuwa kwa masista na padri ambao pia wanafuata maagizo kutoka kwa mkuu wa hao 99%

Hahaha,

Kwa hiyo kuijaza nchi mpaka kuoa?

Miaka yote hii binadamu walivyozaliana mpaka kuijaza dunia kulikuwa na ndoa?

Walivyoagizwa na nani?

Na hao masista na mapadri watakuwaje viongozi wa kiroho katika masuala ya ndoa bila ya kuwa katika ndoa?
 
wewe bibi umepotea njia mambo ya uislamu yanakujaje hapa!?? kadoda11 Matola njoeni mumchukue huyu bibi yenu. Majini yatakuwa yameshampanda

muache FaizaFoxy atoe "ilm" ya mahaba, au wewe hujui kuwa wanawake "makungwi" toka pwani ni wafundaji wazuri sana wa yale mambo yetu?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom