JamiiForums imenipatia mke mwema

JamiiForums imenipatia mke mwema

Ndugu Blessings vipi mnaendeleaje na wife (Mjeda) bila shaka mnakaribia kupata mtoto
 
Hongera kwa kupata mke JF kaka blessings mbarikiwe mpate uzao ulio mwema
 
Hata mchonge vp huyu ndo wa blessings wa kufa na kuzikana, anampenda/wanapendana. Najivunia kuwaunganisha wanandoa hawa hapa JF
 
kaka blessings wasikukatishe tamaa wewe ndo unamjua vema mkeo sov mambo ya urembo ni majaaliwa ya Mungu
 
Yan apo bi harus na bwana harus bwana harus ndio beautiful bibi harus cjui ni handsome au macho yang hayaon vizuri???
 
Halafu huyo dada kafanana na mimi,km unatafuta mke km huyo kamu zis wei 👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉
 
Yan apo bi harus na bwana harus bwana harus ndio beautiful bibi harus cjui ni handsome au macho yang hayaon vizuri???
mnh, acha nongwa wewe... utaishia kusifia tu kwamba bwana harusi ndio mbyuti lakini jamaa ndo keshafunga vioo! Badala ya kutusifia akina NasDaz ili tukuondolee gundu la watu kumega na kuondoka, unasifia ambae keshasema
Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha!
Haya anza kunisifia sasa...
 
Last edited by a moderator:
Halafu huyo dada kafanana na mimi,km unatafuta mke km huyo kamu zis wei 
mnh! cjui usemayo ni kweli manake nishaanza kukumezea mate,,,
 
mnh, acha nongwa wewe... utaishia kusifia tu kwamba bwana harusi ndio mbyuti lakini jamaa ndo keshafunga vioo! Badala ya kutusifia akina NasDaz ili tukuondolee gundu la watu kumega na kuondoka, unasifia ambae keshasema Haya anza kunisifia sasa...

nikusifie nakujua.....unijui sikujui usikulupukie koments ovyo eti gundu mxiuuuuu waty wengine keyboard znawafichia mengi......pia kama we unagundu usidhanie kila mtu ana gundu kama zako
 
Last edited by a moderator:
nikusifie nakujua.....unijui sikujui usikulupukie koments ovyo eti gundu mxiuuuuu waty wengine keyboard znawafichia mengi......pia kama we unagundu usidhanie kila mtu ana gundu kama zako
Hee! Sweetheart... don' take everything serious kiasi hicho... we're just making funny here... wala hukuwa na sababu ya kuja juu kiasi hicho! anyway, am sorry dada... sorry millions times and if not enough, other billions of sorry!
 
Okey ucjarii
 
Watu kwa kebehi hatuwawezi..!
Tungeambiwa tuweke picha halisi humu wengi wetu tungedhindwa.
 
Back
Top Bottom