Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,450
- 104,616
Wapi hawana heshima na upendo kwa waume zao??Wana heshima sana na upendo kwa waume zao
Wapi hawana heshima na upendo kwa waume zao??Wana heshima sana na upendo kwa waume zao
Wapo hivi..Hawa ni wakijijini ndani ndani bado hajajua kuoga, just imagine View attachment 3632434
Japo kwenye jamii hauwezi kosa watu wa mionekano tofauti tofautiWapo hivi..
Warefu halaf nyash imo..
Wana maumbo mazuri kuliko Wamasai na Wahangaza?Wana maumbo mazuri..
Ni warefu..
Wana heshima..
Lakin wanawake wa mbeya Wana dharau sana, hadi washkaji wanazinguag sana hasa hawa under 30Si kweli.
Hao wenye maumbo ya simba wapo Mbeya.
Waambie hao washamba wa Dar ambao hawajatembea...Wasukuma ni pisi hatari, yani ukikuta ya moto ni ya moto kweli na imekamilika kila idara halafu hawanati kiboya wapo humble tu
Washamba wa Dar unawazungumzia Wazaramo, Waswahili na Wakwere?Waambie hai washamba wa Dar ambao hawajatembea...
Wanajitia ujuaji kumbe hakuna wanachokifahamu..
Wanawake wa kisukuma kama ni suala la nyash nimenyoosha mikono..
Huyo mke wa jamaa hana mdogo wake,ninyooshe mambo chapNa huwezi ukawakuta wanajisifia au kujisikia, labda ukiwaletea ujeuri wako ndio utashangazwa, ila wengi wapo low key aisee yule kaka yetu amepata mke bwana! Kajua kutulizana!
Mabinti wa sasa wa kisukuma hawana maumbo ya simba.. labda unazungumzia wanawake wa 80s kweusi huko..Mwamba hapo unaleta ubishi sasa.
Hizi sifa unazozitaja zitawashawishi watu waje pm ujueWala wasukuma sio wa aina hiyo kama wenu, wanavumilia na hawana tamaa, mwanaume akiwa na mapungufu anavumiliwa mpaka ashindikane kabisa anaachwa anaingia mwingine ila sio Kirahisi rahisi tu, tumefunzwa uvumilivu!
Bado hajatembea, aje Tabora ujionee maajabu ya Wanyamwezi, aje Singida ajioone maajabu ya Wanyaturu na Wanyiramba, aje Arusha na Manyara ajionee maajabu ya Warangi na Wambulu.Bado hujatembea,njoo kigoma ujionee maajabu ya waha.
🤣🤣🤣🤣🤣 unamwaga moto kama dragon bwashee, japo sio wote ila kuna kanamnaHuwa nashangaa wanaowasifia wanyakyusa hawa ni malaya mno
Unafiki ndo usiseme wanajifanya yameshika dini lkn machawi kinoma.
Kwa Mbeya wanawake waliotulia n huko wamalila na kidogo wasafwa wana heshima.
Sijataja kabila, nimezungumzia vijana baadhi wanaoishi mijini wakidhani wanaoishi nje ya miji mikubwa bado ni washamba na hawafahamu mambo mengi...Washamba wa Dar unawazungumzia Wazaramo, Waswahili na Wakwere?
Dar imejaa Wasukuma, Wajinga, Wachaga, Wapare, Wamasai n.k
Una maanisha wazigua? Hawa hawa wa Tanga na mvomero auWazigula kuno kwetu nnamba mwenga
machawi kinoma
hahahaha unaoa tu bwashe, kwan wale wapo kijijn ukimleta bint yao mjin wew watakuona kama unamaisha bora sana ata kawa una single roomHio ndio sababu sitaoa usukumani bila kumzidi harmonize utajiri, mahali sawa na utajir wa harmonize wawili
We mzee umeshindikana🤣