Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Na huwezi ukawakuta wanajisifia au kujisikia, labda ukiwaletea ujeuri wako ndio utashangazwa, ila wengi wapo low key aisee yule kaka yetu amepata mke bwana! Kajua kutulizana!
Kuna mmoja ni mke wa mwanangu ni pisi vibaya sana , ila analima mpunga sana huyo dada , asingekua anajituma wangempokonya , yeye mwamba kaendekeza ulevi tu
 
Kuna mmoja ni mke wa mwanangu ni pisi vibaya sana , ila analima mpunga sana huyo dada , asingekua anajituma wangempokonya , yeye mwamba kaendekeza ulevi tu
Wala wasukuma sio wa aina hiyo kama wenu, wanavumilia na hawana tamaa, mwanaume akiwa na mapungufu anavumiliwa mpaka ashindikane kabisa anaachwa anaingia mwingine ila sio Kirahisi rahisi tu, tumefunzwa uvumilivu!
 
Anamkomesha mwanae au aliwaroga waachane mzee mpumbavu huyu!🫢
Bora hata mimi napambana na jagina taratibu...😋
20260627_091705.jpg
 
Wala wasukuma sio wa aina hiyo kama wenu, wanavumilia na hawana tamaa, mwanaume akiwa na mapungufu anavumiliwa mpaka ashindikane kabisa anaachwa anaingia mwingine ila sio
Kirahisi rahisi tu, tumefunzwa uvumilivu!
Hata wetu ni wavumilivu sana sema tu watu wamekariri
 
Nithibitishe kipi...
We nenda wasukuma wanapopatikana kanda ya ziwa..
Kwa makabila yote Tanzania kwenye 3 bora ya wanawake wenye maumbo mazuri.. wasukuma wamo.. tena kwenye mikia itakuwa wanaongoza..
Ukisema hakuna kabila lenye wanawake wazuri kuliko Wasukuma hili ni dai la jumla ambalo haliwezi kuthibitishwa kwa maoni binafsi kiongozi. Na ukisema nenda ukaone, bado hujathibitisha hilo. Umenialika nikakubaliane na maoni yako.

Kwa mfano mtu wa kabila jingine angeleta kauli hiyo hiyo akiwatetea watu wake, ungeikubali bila ushahidi au ungeona ni mtazamo wake tu?

Na tatizo si ushahidi wako. Tatizo ni kwamba madai yako hayawezi kuwa fact. Yanaweza kuwa mawazo yako au yangu binafsi tu.
Kama angeandika hivi:
Kwa maoni yangu, Wasukuma wana wanawake wazuri kuliko makabila mengine.
Hapo wala kusingekuwa na tatizo kwasababu hayo ni maoni yake.
 
Hapo kwenye makebo na umbo mnyumbuliko nakataa.
Wasukuma wengi wao wana shape za simba.
Mimi ni kaka yao kwahiyo niandikacho ni uhakika.
Tena ukitaka kuoa Msukuma og wala usijichanganye kwenda lake zone. Nenda Mpanda, Mbeya au Malinyi huko ndo kuna wasukuma wenye maadili mazuri ila mahari yake imechangamka haswa.
Si kweli.
Hao wenye maumbo ya simba wapo Mbeya.
 
Ukisema hakuna kabila lenye wanawake wazuri kuliko Wasukuma hili ni dai la jumla ambalo haliwezi kuthibitishwa kwa maoni binafsi kiongozi. Na ukisema nenda ukaone, bado hujathibitisha hilo. Umenialika nikakubaliane na maoni yako.

Kwa mfano mtu wa kabila jingine angeleta kauli hiyo hiyo akiwatetea watu wake, ungeikubali bila ushahidi au ungeona ni mtazamo wake tu?

Na tatizo si ushahidi wako. Tatizo ni kwamba madai yako hayawezi kuwa fact. Yanaweza kuwa mawazo yako au yangu binafsi tu.
Kama angeandika hivi:
Kwa maoni yangu, Wasukuma wana wanawake wazuri kuliko makabila mengine.
Hapo wala kusingekuwa na tatizo kwasababu hayo ni maoni yake.
Sahihi
 
Back
Top Bottom