The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,940
- 117,259
Extraordinary claims require extraordinary evidence.Wana maumbo mazuri..
Ni warefu..
Wana heshima..
Mm nakusaidia picha, bei ataletaTuwekee picha na bei mkuu.
Kama unabisha na hilo basi hujui hata unachobishia ni kitu kipi..Extraordinary claims require extraordinary evidence.
Wamang'ati kuna pisi za hatari na wanajiheshimu mno pia weka wasonjo ni hatariUngeweka japo hata kabila kumi kisha tupige kura
MFANO:
1 wazigua
2 wairaq
3 wazaramo
4 wahaya
5 wamasai
6 wasukuma
7 wa mang`ati
8 wapemba+
9 wachaga
10 wamakonde
KISHA wadau wanapiga kura kuliko
Mkuu,nikichukua wote,bei inapungua?Mm nakusaidia picha, bei ataleta View attachment 3632429
Wengi wenu mnafahamu wasukuma ni watu washamba na wanakaa vijijini..Mm nakusaidia picha, bei ataleta View attachment 3632429
Mbona hao ni wife material kabisa bwashee
NakaziaWazuri kwa kigezo gani!
Akikuita babaa na macho yao utatamani ukahonge gari ulio azimaWamang'ati kuna pisi za hatari na wanajiheshimu mno pia weka wasonjo ni hatari
Kam kawaida, kwa bei ya jumla unapata punguzoMkuu,nikichukua wote,bei inapungua?
Bwashee, hapo mwanza kuna fimbo za kisukuma za moto, zina mashepu na hips za kuvunja chaga halafu zimepanda hewaniWengi wenu mnafahamu wasukuma ni watu washamba na wanakaa vijijini..
Tupumzisheni tumewapa ushindi😄
Hao ni walembo bwashee, gugo ya warembo tuoneMm nakusaidia picha, bei ataleta View attachment 3632429
Mkuu, urembo ni subjective. Lakini pia usipoweka wazi kuwa ni maoni yako, usishangae ukipingwa . Wakati huo huo pia usisahau kwamba ni wajibu wako kuthibitisha madai yako.Kama unabisha na hilo basi hujui hata unachobishia ni kitu kipi..
Hiyo picha niliyoweka hapo ndio ya wanawake sahih wa kuoa,..Wengi wenu mnafahamu wasukuma ni watu washamba na wanakaa vijijini..