Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,707
- 4,976
Wakurya utasemaje hahahaha ongeza na wachaga aseeeeh 😂Wasukuma wana shape za simba?!!!
Labda koo na koo!
Wakurya utasemaje hahahaha ongeza na wachaga aseeeeh 😂Wasukuma wana shape za simba?!!!
Labda koo na koo!
Mnyakusa hafai hata kidogowasukuma ni wazuri kama hujawaona wanyakyusa
haha kwanini mkuu?Mnyakusa hafai hata kidogo
Me ni xiao ndo kabila languMkuu Xiao qui shui ww kabila gani mkuu 😂
NO WASUKUMA HAWANA WAKE WAZURIhapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
ChainaMe ni xiao ndo kabila langu
Mnatuchanganya sasa. Twende mwanza au mbeya?Si kweli.
Hao wenye maumbo ya simba wapo Mbeya.
Utachagua kati ya umbo au heshima 😂Mnatuchanganya sasa. Twende mwanza au mbeya?
Kwaiyo heshima wapi na umbo wapiUtachagua kati ya umbo au heshima 😂
Heshima Mwanza, umbo mbeyaKwaiyo heshima wapi na umbo wapi
Tobaaa.!Wanapokea kuanzia wa laki 4 wale ndama, lakin hao ndama wasiwe zaidi ya 20% yaani katika ng'ombe 40 basi ndama wasizidi 10, wengine wote wawe ni wale Laki 8 hadi 1M +
Usiogope 😂Tobaaa.!
Ingawa sijui kisukuma, ila hapa nimeelewaghutombana bebe 😌
Ndiyo sema wadada wa. Huku aisee hawana makeboChaina
Mimi napenda CCMhapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
Hapo kwenye neno selfika sijakuelewa,una maanisha nini?ni
Japo nimechelewa
Wasukuma ndio sisi njoo selfika tukupige kizungu zungu