Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Hapo kwenye makebo na umbo mnyumbuliko nakataa.
Wasukuma wengi wao wana shape za simba.
Mimi ni kaka yao kwahiyo niandikacho ni uhakika.
Tena ukitaka kuoa Msukuma og wala usijichanganye kwenda lake zone. Nenda Mpanda, Mbeya au Malinyi huko ndo kuna wasukuma wenye maadili mazuri ila mahari yake imechangamka haswa.
Wasukuma wana shape za simba?!!!
Labda koo na koo!
 
Baki njia kuu binti, jana nimepita selfika huko naambiwa "pita uchi wacha maneno mingi", basi bwana sijui ni shetani gani aliniingia kichwani si nikapita uchi kweli na vile nilikuwa bafuni muda huo. Sasa hapa napata stress isijekuwa watu wali-download kichwa changu wanakitumia bila mimi kujua. Enewei mimi ninavyo viwili kimoja kipo juu ya shingo kingine ndo kile nimeweka kwenye uzi wako jana. Karibu kama upo interested 😋!
Ukawaonyesha watu kile kipilipili hoho chako, itakua umewatraumatize wanajukwaa maskini.

Relax, hakuna anayeweza kudownload uchier wenye micro-penĩş.
 
Back
Top Bottom