Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Wewe mtu mzima bhana,
Kwanini unitese mtoto wa Mwanamke mwenzako?

Au mateso yangu ni furaha kwako?
Ndiyo 😎

200.gif
 
Sio kweli, kuna binti huyo nilikuwa nae kuanzia mwaka juzi mpaka mwaka huu April. Sasa kila tukikutana naichapa kwa nguvu haraka haraka mpaka ananiambia nipunguze spidi nitamtoa kizazi kwasababu alikuwa anaskia kama inafika tumboni. Kwahiyo unataka kusema kwamba alikuwa ananifikia au 🤔!
Seran nisaidie kumjibu huyu ngosha mwenye kadudu kadololo, atena masala ghete, mimi nimechoka 😅
 
Ukweli usemwe wanawake wa kisukuma wanaheshima sana pia wakalimu tofauti na majabila mengine ukienda kwao na mkeo unapokelewa kwa heshima kubwa mno mpk unajiuliza hivi hawa vipi 😂
Sasa jichanganye uoe muha au mpare na mkurya asee hahahaha
 
Back
Top Bottom