Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Ukwel hizi huwa ni Pisi zimenyook kwa macho ya nyama... Pisi nyeupe... Tatizo uikwaze tu af uwe na afya mgogoro 😂Ni wazuri mno halali yao jamani!😅
Ukwel hizi huwa ni Pisi zimenyook kwa macho ya nyama... Pisi nyeupe... Tatizo uikwaze tu af uwe na afya mgogoro 😂Ni wazuri mno halali yao jamani!😅
Halafu kupigana mpaka na wanaume sio shida zao, ukijichnganya linakutandika haswaa!Ukwel hizi huwa ni Pisi zimenyook kwa macho ya nyama... Pisi nyeupe... Tatizo uikwaze tu af uwe na afya mgogoro 😂
🤣🤣Demu wa kisukuma anaoga vizuri tu mtoni ila mwisho wa siku anajipaka mwilini mafuta ya Samli,
Basi siku nzima anakua ananuka harufu ya Ng'ombe tu.
Umenikmbush kuna mwamba alikuwag akiskia njaa,Wanawake wa kisukuma hua wanapika ugali mkubwa,
Halafu wanapika na kaugali kadogo,ambako ndio hua wanakatumia kama mboga.
Mume wangu mfugaji, na samli naitengeneza mwenyewe home na maziwa ya ng’ombe wetu.
Duh hao wamang'ATI wamekaa kikatili sanaWamang'ati kuna pisi za hatari na wanajiheshimu mno pia weka wasonjo ni hatari
Kivip mkuu?Duh hao wamang'ATI wamekaa kikatili sana
Wanawake wa kisukuma mmekomaa viganja kwa kulima na jembe la mkono,Mume wangu mfugaji, na samli naitengeneza mwenyewe home na maziwa ya ng’ombe wetu.
Kila baada ya wiki 2 natoa kitu kipya 🧈 ni kujikandika mwilini na kumeremeta tu, ba mjengo akinipapasa ngozi inateleza mpaka raha 😋😎
Hebu jaribu na kwa wanyakyusa, wanaweza kukukubalia, hakuna mtu wa kufanya hiyo mikutano usukumani!!Mimi toka Binti wa zamani anikatae,nimekua na hasira na wanawake wa kisukuma wote,
Labda wafanye mkutano wamshawishi anikubali ndio tutamaliza tofauti zetu.
Huyo wa kati ukimleta town ukampiga pamba na maji ni kifaa hasaMm nakusaidia picha, bei ataleta View attachment 3632429
Dada wane unajua kama nimezaliwa Kusini mwa Tanzania baada ya miaka mitano nikarudi kijijini kupitia ile michakato kuchunga ng'ombe, mbuzi na kuamka saa 10 usiku kwenda kulima baada ya hapo nikarudi Kusini tena ( Shule) nikaenda Jijini Dar (Shule na Chuo)Kaka yangu kuna tuhuma zenu huku Manyanza hebu njoo ujitetee 🤣🤣
Si nimesema ni part ya culture yetu, sasa hujaelewa nini hapo?Yani wewe Binti hata kama ni uzi wa mapishi lazima uuhusishe na mambo ya kulana!
Ipo siku hata kwenye uzi wa msiba utaingiza mambo ya kuzagamuana.
Nani kakusaidia huyo nimuokotee mawe? Mwambie nyanokwebhe🤣Ng’wanike thoba-ooko mwenekele🥸!
Kichwa kipi sasa?Ndiyo maana nilikukataa mwanaume gani una kichwa kigumu hivyo 🤣🤣🤣
Kwamba huwajui au? Hawajakutandika vizuri wewe! Wako kama wanyamaKivip mkuu?
Ndio raha yenyewe ukizingua hata akikunasa banzi unasikia zzZZZWanawake wa kisukuma mmekomaa viganja kwa kulima na jembe la mkono,
Hata mkimpapasa mtu utafikiri mnamkuna na jiwe.
Ila ni warembo 🤣 nawajua vizuri sana ila kitabia siwajuiKwamba huwajui au? Hawajakutandika vizuri wewe! Wako kama wanyama
Ukimpiga maji huyo unamkosa walahi... Kina asumani sio watu wazur.,Huyo wa kati ukimleta town ukampiga pamba na maji ni kifaa hasa