Jamii forum hii lol!


hivi utajisikiaje ukiona mke wako anajibizana na vidume jf hasa kwenye hili jukwaa?
 
anaongea manini huyu mleta mada.unakuwa kama mabibi wa s2 bunge la katiba,wanabwatuka
 
hivi utajisikiaje ukiona mke wako anajibizana na vidume jf hasa kwenye hili jukwaa?

Kwani shida nini baba?!!!!!!!? Live your life, hujui walikutana wapi, wanapendana vipi wala wanaishi vipi. Kila mtu na principle zake katika maisha.
Dinazarde, hongera mama, shemeji anajiamini sana. It takes a real man kuruhusu mke wake asocialize katika mitandao ya kijamii. Umepata mume makini na mwelewa, Mtunze mama.
 
Last edited by a moderator:
hivi utajisikiaje ukiona mke wako anajibizana na vidume jf hasa kwenye hili jukwaa?


Mbona anajibishana sana tatizo ni kujibishana au ni kwenda kinyume cha maadili? Wapo wengi wanawake wamo humu na jamaa zao hawajui maana waliwazuia wakaamua kwenda kwa fake ID's kwahiyo kipi bora uone asemacho au akufiche hayupo jamii kumbe kajaa kama bwabwa la Eid katika karne hii watu wana uhuru wa kufanya kilicho kizuri bila madhara kwenye jamii wala mahusiano yeye kuwa JF akajadili mada mbalimbali sioni tatizo maana ni furaha yake ili mradi hakuna zaidi ya hapo tatizo midume ya humu mingine haipo kimijadala ipo kiutongozaji ikiwa quoted mara mbili tatu na ikapigwa likes au kuwa mentioned next inatuma PM kudhania imependwa. Wapo wanawake wengi sana humu nawajua na wana jamaa zao humu JF pia wapo ambao jamaa zao hawajui wamo yaani jamaa yupo JF na mke yupo Jf wote wanatumia fake Id's na hawajuani au jamaa hayupo kabisa JF lakini bibi kajaa tele na wala haiongelei JF pia bwana yupo JF bibi hayupo JF haya mambo ni kujuana bibi kutokuwa JF haimaanishi katulia sana anaweza kuwepo kisiri au hayupo lakini mambo yake makubwa ni luzi Fulani lakini akiwa na wewe bwana anajifanya si muongeaji hata ukitaja k au m anaruka huna haya wee mwanaume kumbe zinamramba kila mwezi wanaume tofauti
 
Shoga ijia tu nipo mbagala, dira blue kiremba chekundu, funguo za gari ntakufikiria....
 

Well said my shemeji. Dinazarde how I wish Shem angekuwa wangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…