Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

Bado unaendelea kusongesha hii thread?
Enhenhenhe hakijakuvimbia we we!
 
Bado unaendelea kusongesha hii thread?
Enhenhenhe hakijakuvimbia we we!

Ashanisameheee kaniambia niendelee umepoteeaaa wapii smilee jamani nimemmissoooo
 
Last edited by a moderator:
Asante shoga nikitoka hapa napitia mtaa wa pili kwa masai dada nikaazime viatu ye ndio tunavaliana.. kandambili zangu ntaziacha kwake

Kweli we mswahili mwenzanguu mpaka ndala uache kwakee kwani mnaenda wapiii maana msiba haupoo kuna mzimu tuuu hahhha
 
Last edited by a moderator:
Nimekupatiaa jana uliona raisi wako kagame aligwayaa kujaa umeonaaa eee muda si mrefu tutawachapaa tena mi ntaanza na wewe,hayaa fungashaa toka kwetuu rudi kwenye ka wilaya kenuu hukoo
Huo ni ubaguzi wa rangi ambao nchi za afric hatuna labda utengeneze nchi yako
 
matatizzo ya ndoa yanatangazwa jf, duh

Alafu wanamshangaa umukagame,,kati yangu mie na wao mwendawazimu atakuwa nani?anaekuja tuanikia ugomvi wake na mumewe humu na kuomba msamaha??asiye na mwanaume humu nani?asiyegombana na mwenzie humu nani?asiyempnda hubby wake humu nani??inahuuuu sana
 
hongera Dina kwa kusamehewa!tunamshukuru sana shemeji kwa kukusamehe! nawatakia jpili njema.Leo ukarangize mapochopocho kibao! nakuaminia !
 
Wivu unawasumbua, watu mahaba mahabani......na muwaache wapendane.
Mtakufa vinywa wazi kwa kufuatilia mapenzi ya watuuuu!
 
hongera Dina kwa kusamehewa!tunamshukuru sana shemeji kwa kukusamehe! nawatakia jpili njema.Leo ukarangize mapochopocho kibao! nakuaminia !

Hongera zake...kupendwa ndio huko Dinazarde
Walioachika wanaumiajeeee! Kupendana rahaaaa mweee!
 
Last edited by a moderator:
Alafu wanamshangaa umukagame,,kati yangu mie na wao mwendawazimu atakuwa nani?anaekuja tuanikia ugomvi wake na mumewe humu na kuomba msamaha??asiye na mwanaume humu nani?asiyegombana na mwenzie humu nani?asiyempnda hubby wake humu nani??inahuuuu sana

umukagama unajua tatizo lako ni nini sio kwamba watu hatuji kuomba ushauri hapana ila wewe unaponda sana wanawake wenzio hadi wanaume wanakushangaa
Unajiweka class la juu sana utasema hutumii jf pamoja na sisi stop that bwana hatupendi kuwa against na wewe ila mtu akija na kidole karibia na jicho lazima ureact embu act normal

Uko Jf achana na mambo ya fb na blogs za udaku uko

inaumiza sana wanawake kuwa against na wewe kwa sababu ambazo unaweza kuzibadili embu jishushe kuwa kawaida wote tutakuwa sawa
kama unaona sivyo basi kawafollow kina selena gomez uko twita na kina riri naona jf tubaki wazaramo
 
mke jf mume jf, haya majanga....

karne ya 21 sio ya kuzuiana mwenza kuingia kwenye forum, nyie ndo watu msemao demu wangu hana mambo ya hovyohovyo Jamii haingii hana whatsapp wala viber maana anasema ni anasa kumbe huyo mkeo au mpenzi wako kajaa sana JF anatumia jina mbadala kwa mipasho na matusi ndiye mwenyewe ukiwepo anajifanya hata JF haijui maana uko controlling na una wivu. Cha kufanya ingia Jamii Forum mtafute kwa kuangalia interests zake angalia ID za watu wanavyoandika yaani mawazo yao, spelling errors, aina ya maneno, misemo, mtiririko wa sentensi, vituo, nukta, herufi kubwa na habari anazopenda kuongelea linganisha na sms anazokutumia kwenye simu pia maongezi ya nyumbani naamini utampata na utashangaa alivyo kiranja wa mambo JF. Hizo ni tips
 
Back
Top Bottom