Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
- Thread starter
- #361
Nawe dear umeingia JF kuelezea yaliyokusibu badala ya kuniandikia tu whatsapp nami nikaacha kujitokeza lakini maadamu uliandika kuokoa mahusiano hilo umefanikiwa maana hali ilikuwa mbaya. Lakini sasa nakukumbusha kuwa kuandika kwako huu uzi nami nikatokea jiandae kwa yafuatayo JF, less likes, less quotes, less mentions and less PM toka kwa wanaume baadhi walikupigia hesabu wakupate wale hutumia JF kutafuta wa kulamba ila wengine wataendelea maana ni wanaforum wa kujadili bila kujali sie siasani na kwenye Great Thinkers hatuana hili tatizo kama huku MMU malavidavi mengi na imagination za kumpata fulani nyingi mno sababu ya ile mijadala ya mapenzi wengine hutekewa na kudhania kweli
Hubby wee kule ulitakaa kunipa ban nikaona nije nielezee hapaa mashostito niliokua nao kwenye umbeaa ulee waniombee nao msamahaa maana ulichukiaa kwelii na kusemaa nihamiee JF!!!!!
Hao watuma pm achana nao mpenzi wangu wala siwahitaji na sihitajii kukucheat kabisaa maana we ni tofautii na wengine kabisaa sioni wala sisikii kwako hata usemweje,najivuniaa kua na wewe ndio maana sijaonaa hatarii kutitirika hapaa maana raha unipazo ni siri yangu honey,staki kukupotezaa bado nakuhitaji sanaa Redlum. Mengine ni changamoto tu katika mahusiano usijali sanaaa pia ni kuyapotezeaaa kuyatupa kulee
UJUE NAKUPENDA SANAA LOVE
Last edited by a moderator: