Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
- Thread starter
- #341
Mbona anajibishana sana tatizo ni kujibishana au ni kwenda kinyume cha maadili? Wapo wengi wanawake wamo humu na jamaa zao hawajui maana waliwazuia wakaamua kwenda kwa fake ID's kwahiyo kipi bora uone asemacho au akufiche hayupo jamii kumbe kajaa kama bwabwa la Eid katika karne hii watu wana uhuru wa kufanya kilicho kizuri bila madhara kwenye jamii wala mahusiano yeye kuwa JF akajadili mada mbalimbali sioni tatizo maana ni furaha yake ili mradi hakuna zaidi ya hapo tatizo midume ya humu mingine haipo kimijadala ipo kiutongozaji ikiwa quoted mara mbili tatu na ikapigwa likes au kuwa mentioned next inatuma PM kudhania imependwa. Wapo wanawake wengi sana humu nawajua na wana jamaa zao humu JF pia wapo ambao jamaa zao hawajui wamo yaani jamaa yupo JF na mke yupo Jf wote wanatumia fake Id's na hawajuani au jamaa hayupo kabisa JF lakini bibi kajaa tele na wala haiongelei JF pia bwana yupo JF bibi hayupo JF haya mambo ni kujuana bibi kutokuwa JF haimaanishi katulia sana anaweza kuwepo kisiri au hayupo lakini mambo yake makubwa ni luzi Fulani lakini akiwa na wewe bwana anajifanya si muongeaji hata ukitaja k au m anaruka huna haya wee mwanaume kumbe zinamramba kila mwezi wanaume tofauti
Mmmwaaaaaaa bonge la likee nimekupaa my diaa umeandika vyemaa sanaa japo wenye vichwaa vigumuu hawatakuelewaaa umesemaa vyemaaa mpaka nimekosa cha kuongeaaa