TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Ha ha ha ufunguo wangu sitoi aseee mkiupoteza ntapata tabu kutembea mjini...
Shosti unaogopa heshima itashuka?
Ha ha ha ufunguo wangu sitoi aseee mkiupoteza ntapata tabu kutembea mjini...
Afu ntauzia nini sura, tafuta wako bana watu washazoea kunaiona na funguo
Halafu kwa nini iwe mimi na si mwingine? Mbona mi naona unajimix na wanaume kibao tu humu.
Sijui nina nini tu. Huwa napakaziwa mengi mno.....
Si ndo hapo sasa mi sitaki kashfa, acha niendelee kutembea na funguo tuHahahaaa...watasema umenyanganywa gari ulilohongwa
Heee ndio hua unaenda naoo mjinii halaf unaerudi nao kwenyu mbagalaaa hahhhha we nomaaaa
Acha tu naonekana matawi kumbe tawi la mchicha....Shosti unaogopa heshima itashuka?
Yule mdau alivokomeshwa jana hatotishia tena kufa hakya nani.
Hahhhahhhahhhahhha aisee kumbe evelyn mjanjaa hivyoo duuu
Si ndo hapo sasa mi sitaki kashfa, acha niendelee kutembea na funguo tu