Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

ukukagame yukwapi nasikia ni mbaya mbovu kama negative ya mizengo pinda

hahhahahhahaj nafwaaa wapi evelyn salt,TATIANA,Dinazarde umeinyaka hiyo,kim nana duh nataman kesho ingekua juma3 ya pasaka tena
 
Hii nchi kumbe kuna mengi ya kustaabisha ee? Halafu uzi umeja coments tele!
 
Ahsante kwa kunisamehee mpenzi wanguu maana hadi nilipata jotoo nikaonaa niwashirikieshe mashostito nao waniombee msamaha maanaa hali ilikua mbayaaa ban ya nyumban mbayaa my darling bora upate ya Jamii au sio TATIANA na measkron,nashukuru kwa kua muelewaaaa kiasi hiki ndio maana najivunia kua na wewee
Hongera sana kuapata msamaha Dinazarde, natumaini unapokuwa na mumeo kipenzi Redlum utaweka simu yako pembeni mbali kabisa na kupata wasaa wa kuwa na mume
 
Last edited by a moderator:
Wadauz mpooo

Kama kawaidaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa wee tukaushikiliaaa bango hatare thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa moto si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee

My laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!

Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamu nakupenda sanaa unafahamu hilo.

Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya jua naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukosea najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee.

Hayaaa TATIANA Ichana Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu.

Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa

Ntapanda boti nije nikuombee msamaha.
 
loh shemeji pole najua yameshaisha unajua sisi watu wa pande ya ziwa hatuna mengi ukiomba msamaha tu baaaaaaaaasi.

Sasa Shemeji ulichelewaaa jamanii ila haina mbayaa ashanielewaaa pia rafiki zangu wameniombeaa msamahaa duuu nilikua nishakua mdogo kama piliton lol
 
Back
Top Bottom