Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Usijali wewe funguo yako nitahakikisha nimeokota ya benz
Ntashukuru shoga angu, watanikomajeeee!
Usijali wewe funguo yako nitahakikisha nimeokota ya benz
unakwepa swali langu kama nilivyokwepa mimi nilivyoulizwa Umeenda kanisani?Usijali wewe funguo yako nitahakikisha nimeokota ya benz
Nimeandika kule nimeachana nae leyo rasmi
Ntashukuru shoga angu, watanikomajeeee!
Wacha weee mbona mm siuoni shostito
Utuwache na uswahili wetu tuinjoi maisha yetu ya kiswazi.. Evelyn Salt hebu niazime like dera lako la blue leo naenda jahazi modern.. Dinazarde upo chumbani kwakoo? Nakuja uniazime zile hereni zako nimatch na dera leo nna mtoko. Kim nana naomba mboga nishaivisha ugali mie hata sijapika mboga leo nilikuwa na hela ya unga robo tu.
Rudii kwenyu Rwandaaa tuachie Tanzania yetu
Wadauzzzzzzzzzz mpoooooooo
Kama kawaidaaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa weeee tukaushikiliaaa bangooo hataree thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa motoo si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee
! !!!!!my laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamuu nakupenda sanaa unafahamu hilo
Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya juaa naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukoseaa najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee
Hayaaa TATIANA Ichana Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu
Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa
Hamjaenda kanisani mmekaliaa jamiii
unakwepa swali langu kama nilivyokwepa mimi nilivyoulizwa Umeenda kanisani?
Atuwache angekua sio mswahili angetundika uzii hovyo hovyooo njoo uchukue hereniii mwaegoo
Mke mwenzaa jana ulinusurikaaa aiseee pole sanaa acha kuchunaa ni tabia mbayaaa
I wll back ila achen uswahil nyie wazaromo munaboa