Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

umukagama unajua tatizo lako ni nini sio kwamba watu hatuji kuomba ushauri hapana ila wewe unaponda sana wanawake wenzio hadi wanaume wanakushangaa
Unajiweka class la juu sana utasema hutumii jf pamoja na sisi stop that bwana hatupendi kuwa against na wewe ila mtu akija na kidole karibia na jicho lazima ureact embu act normal

Uko Jf achana na mambo ya fb na blogs za udaku uko

inaumiza sana wanawake kuwa against na wewe kwa sababu ambazo unaweza kuzibadili embu jishushe kuwa kawaida wote tutakuwa sawa
kama unaona sivyo basi kawafollow kina selena gomez uko twita na kina riri naona jf tubaki wazaramo

Neno kuntu...sina cha kuongeza
 
Uuhh afadhali jameni kaa umemsamehe
hiki kipindi cha mvua mvua hiki hata hakifai kununiana
afu unipe basi kanamba shemeji tuwe tunachat chat
hata ukinisave fundi makochi si mbaya
Dinazarde asijue....

Umenikumbusha jambo leo ni ukaguzi wa simu na vinotebooks kulinganisha majina yaliyomo sawa na yale ya kwenye simu. Eti simu nzima majina ya wanaume ni sita mimi, kaka yake, baba yake, mjomba wake, baba yangu na mme wa dada yake jamani hii imekaa sawa? wakati PM zimejaa midume pia michumba mingi ya JF ikiongozwa na Sayansikimu na mingine lakini sioni majina yao kwenye contacts au lile jina na Dada Domestic ndiye Sayansikimu nini? Nimefunguliwa macho ukaguzi yakinifu unaanza Evelyn Salt utapata taarifa
 
Hahhhhahhhahhhahhhhahhhahhhahhhha love umeniuaa mbavuu aiseee hahhhhahhhhahha aisee Evelyn Salt unaonaa unataka kuleta kesii hapaaa jamanii lol
Baby wangu achana naee eve atakupa preshaaa huyooo we nisikilize mimii tuu
 
Last edited by a moderator:
Alafu wanamshangaa umukagame,,kati yangu mie na wao mwendawazimu atakuwa nani?anaekuja tuanikia ugomvi wake na mumewe humu na kuomba msamaha??asiye na mwanaume humu nani?asiyegombana na mwenzie humu nani?asiyempnda hubby wake humu nani??inahuuuu sana

Wivu ni kidonge ukiishirikii utakondaa umetoswaa hukoo huna jipyaa punguza jotoo mwambie tu shemeji yetu akuanzishiee uziiii humuu kwanu tuna shida sieee MSUMARI UMECHOMAAAA KWA RAHA ZANGUU WACHA UANGALIEE MOVIEE TU
 
Hongera zake...kupendwa ndio huko Dinazarde
Walioachika wanaumiajeeee! Kupendana rahaaaa mweee!

Wachaa shogaaa kwa raha zangu acha yeye hawara yake kajawa na gubu mda wotee kavimbaa sasa katupwaa kulee wivu umemjaa kuona hubby wangu kaja kujibuu heeeeeee Imeshachomaa hiyooi
 
Last edited by a moderator:
hongera Dina kwa kusamehewa!tunamshukuru sana shemeji kwa kukusamehe! nawatakia jpili njema.Leo ukarangize mapochopocho kibao! nakuaminia !

Ahsante mamitoo nna rahaa leoo nampa yotee kabisaaa, ahsante kwa kuwepooo
NANII AMENUNAAAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom