Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

No one get rapped 3 times....! Askofu wenu kanogewa kwa mke wa jamaa, kaamua kuchonga mzinga kabisa. Mtoto mwenyewe macho kumchuzi kuna mtu wa kubakwa hapo......! Ipo siku kuta zitaongea

Mkuu, ukimmega mtoto (under 18) iwe kwa makubaliano au kwa kulazimisha, unakuwa UMEBAKA na jela inakuhusu.
 
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.

Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

Mahakama ni za ki.pumba.vu na serikali ni ya ki.jin.ga sana,tangu lini mtu akabaka mara 3? au alipiga bao 3? a nonsense case,huyu jamaa watamfunga kweli,maana wamempania sana,eti alibaka mara 3,mbakwaji alikuwa anaenda kubakwa tena na tena? Tz nchi ya hovyo sana.
 
Ndugu ulikua nae au ulimpima wewe:what::what:
 
Binti aliyebakwa sio Malaya ambaye mmeshawahi mpost humu!:half kuna wanaume akili zao ndogo sn, HV unawezaje justify ubakaji kisa mwanamke mzuri,basi huna tofauti na mbwa anayejisaidia popote.Think big
 
Wewe ndio -------- sio mahakama,mbona unakuwa kama sio msomi bwana,hizo ni tuhuma ambayo mwisho wa siku hiyo mahakama itaamua km alibaka au la sasa we we utaitaje mahakama ya kipumbavu,tuache kukurupuka humu@ truth
 
Mkuu, ukimmega mtoto (under 18) iwe kwa makubaliano au kwa kulazimisha, unakuwa UMEBAKA na jela inakuhusu.

Hii barua ya Mume wa Mwimbaji wa Nyimbo za injili nchini – Flora Mbasha kwenda kwa mchungaji maarufu nchini, Mchungaji Gwajima inakuhusu….
“Mchungaji …yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri’ wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa fedha kiasi cha milioni 9 na waumini kanisani kwakoMchungaji, naomba uelewe kuwa nafahamu juu ya mipango yote mnayoipanga kuliko unavyodhani!!

Kwanza ni kweli kuwa mlipitisha harambee ya kumchangia mkewangu, lakini kiwango kilichopatikana kilikuwa ni milioni 2 na laki tatu na si milioni tisa kama mlivyotangaza!! Lakini mlitangaza uongo huo makusudi iwe rahisi kutimiza malengo yenu ya kidhalimu mliyoyapanga juu yangu!!Mnamo tarehe 3 mwezi juni mwaka huu, mlifungua akaunti mpya kwa jina la mkewangu katika benki ya crdb morogoro, na siku nne baadae mkewangu aliingiziwa fedha kiasi cha milioni 18 kutoka akaunti ya MWANAMAPINDUZI FOUNDATION ambayo hyo accnt ipo nmb mwanza! Ambapo asasi hii inamilikiwa na mchungaji wako msaidizi Maximilian Machumu pamoja na mbunge wa viti maalumu kutoka mikoa ya kaskazini!

Nashukuru kama ulimpa fedha hizi kwa nia ya kumsaidia, lakini hofu yangu ni kuwa kwanini kitendo hiki kifanyike kwa kificho?? Kwanini mtumie njia za siri ambazo si rahisi watu kujua kama mmempa fedha??

Pia napatwa na mashaka zaidi kwani siku moja baada ya fedha hizi kuingizwa taarifa ya benki inaonyesha kuwa kiasi cha milioni sita cash zilitolewa na siku hiyo hiyo wapo waandishi watatu wa magazeti ya udaku ambao wanaonekana waliingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kila mtu na aliyedeposit hizo fedha ni moja ya viongozi wako hapo kanisani!! Kuna nini hapo??

Mchungaji, naomba tusizunguke mbuyu! Ni dhahiri shahiri kuwa umekuwa na uhusiano wenye utata na mkewangu kwa muda mrefu sasa!

Binafsi nilianza kupata wasiwasi mwaka jana mwezi desemba tulipoenda katika mkutano wako wa injili pale morogoro! Mimi na mkewangu tulifikia hoteli ya kingsway msamvu na wewe ulifikia Nashera Hotel maeneo ya forest hill!!

Baada ya siku tatu za mahubiri mkutano wako ulipigwa marufuku na serikali kwasababu ya maneno yakichochezi uliyokuwa unahubiri, hvyo ikatulazimu waimbaji wote turejee dar es salaam!!

Lakini uliniomba mkewangu abaki na wewe kwani ulipanga uwe unawafanyia watu maombi pale kanisani kwako kihonda kwa muda wa siku nne!! Nilikubali na nikamuacha mkewangu nyumbani kwa dada yako pale mazimbu!! Lakini kesho yake dada yako alisafiri kwenda mwanza na ikabidi mkewangu arudi hotelini kingsway!!

Kwaa taarifa nilizonazo na nimezithibitisha kupitia wahudumu wa pale hotelini ni kuwa mkewangu hakuwahi kulala pale hata siku moja ingawa chumba kililipiwa kwa siku zote zile!! Unaweza kunijibu alikuwa analala wapi?? Je unaweza kunieleza kwanini mkewangu alikuwa analetwa nashera hoteli na taxi kila siku usiku!! Sibahatishi katika hili kwani hata namba ya dereva taxi ninayo!! Yote haya nilivumilia, na hapa kati kati kuna mengi sana yametokea lakini nikajifanya mjinga nikajishusha nikavumilia kwa lengo la kulinda ndoa yangu isiharibike lakini naona wenzangu hambadiliki wala hamjishitukii sana sana mapenzi ndio yanzidi kuwa motomoto kati yenu!! Ulikuwa unategemea nivumilie mpaka lini, nijishushe kiasi gani, niwe mjinga kiasi gani Nilikuvumilia sana mchungaji lakini sasa imefika point hapana, imetosha lazima nikuondelee uvivu watanzania na dunia ikufahamu jinsi ulivyo na kitendo ulichonifanyaia na unataka kuniziba mdomo kwa kunitishia jela miaka 30!!!

Wewe ni mpuuzi na shetani anaishi ndani yako… na nataka nikuahidi kitu kimoja kuwa NITAKUSHINDA! Najua utanisumbua sana kutokana na hela zako but at the end, I will be the last man standing!! Narudia tena, nitakushinda.!! Bila kusahau naomba niongee na wewe pia mkewangu, hivi ni nini kilichokukuta ndani ya moyo wako How did we get here?? Je ni fedha zilizokufanya ukengeuke kiasi hicho au kuna kingine?? Kama unanichukia mimi kiasi hiki je, uwahurumii hata watoto wetu?? Mbona tunawatengenezea mikosi wakiwa wadogo hivi?? Hivi unadhani watoto wanajisikiaje watakaposikia kuwa baba ameenda jela kwa kosa la kubaka lakini aliyechongesha muvi yote hiyo ni mama?? Hivi kisaikolojia hawa watoto watakuwaje Si watakuwa huku wanatuchukia sisi wote wawili kwa aibu na mikosi hii tunayowatengenezea Kwanini tunataka kuwataabisha watoto kwa dhambi ambayo hawajaitenda Yes nafahamu nimekukosea mengi and am very sory for that, lakini basi embu kumbuka mkewangu nimekuvumilia mambo mangapi mkewangu, kumbuka makosa mazito uliyonifanyia lakini nikakusamehe ni sijamsimulia hata ndugu yako ama ndugu yangu ili kulinda heshima yako!! Kumbuka jinsi tulivyopogana na changamoto mbalimbali mpaka leo hii umefikia kuwa moja ya icons wa muziki wa injili hapa nchini?? Kumbuka shida, manyanyaso, dhuluma, kuchekwa na kudharauliwa ambako tumepitia mpaka leo hii tuko hapa!!!

Mkewangu, kwa miaka yote hii nimekubali nionekane bushoke tu huku watu hawajui kuwa mimi ndiye ninayechora ramani ya kila ishu yako!! Mimi ndiye nimekuwa nafatilia na kufanikisha kila kitu chako from scratch!!! Lakini nimekubali jamii inione bushoke kwani nilikuwa najua nini mimi na wewe tunatengeneza kwa maisha yetu ya sasa na baadae!!! Nini kilichokubadilisha mkewangu Fedha Au huyo mchungaji mwanamazingaombwe Hivi kweli kabisa umefikia hatua ya kulipa waandishi wa habari ili wanikandamize nionekane sifai katika jamii Ni nini kilichokuoata mkewangu??

Naomba uelewe kuwa binafsi siogopi kwenda jela kwasababu ya hiyo muvi mliyonizushia, kwani ni bora nikakae jela kuliko kuishi huru huku mkininyanyasa kiasi cha kuondoa utu wangu kama bidamu, lakini kinachoniuma ni familia yetu!! Kwanini watoto wateseke kwa sababu ya tamaa zetu binafsi!! Nikifikiria hilo naumia sana! Najua kwa sasa inaonekana kama vile ni impossible kwa mimi na wewe kurudiana tena, lakini binafsi naamini tunaweza!! Najua haitakuwa rahisi kwani tumeharibu mno, lakini ni heri ya kujaribu kuliko kuendelea kufanya huu upuuzi tunoufanya sasa!!
Kumbuka hiki tunachokifanya sasa hatujajipaka matope sisi tu pekee, bali mziki wote wa injili Tanzania, na tusipotubu tukajirudi Mungu atatuhukumu kwa dhambi hii!! Kumbuka kuwa hakuna kati yenu atakayeshinda katika hii vita, vyombo vya habari pekee ndivyo vitakavyo nufaika lakini mimi, wewe na mchungaji wote tuta loose!!

Mwisho nimalizie na wewe mchungaji, tulipokutana mara ya kwanza nilikuchukulia kama kaka na kama mlezi wetu wa kiroho!! Lakini umegeuka shetani mwenye pembe saba, umeparaganyisha familia yangu, umeleta maumivu makali kwenye ukoo!!
Nakuonya tena kwa mara nyingine, muache mkewangu!! Huyo ni mkewangu, nilimtolea mahali mimi mwenyewe na wazazi wake waliniamini na kunikabidhi!!! Nasema niachie mkewangu!!

Wewe ni nyoka, imefika time watanzania wakujue ukweli wako wewe mbwa mwitu mkali uliyevaa ngozi ya kondoo!!!
Umedanganya watu vya kutosha na umefarakanisha ndoa nyingi sana kwa sababu ya kiburi cha pesa zako chafu za sembe!! Umeudhalilisha ulokole kiasi cha kutosha imefika time tuwaeleze watanzania ukweli na wakufahamu kuwa wewe ni nyoka!!

Sitakubali kuona ukiendelea kuitesa familia yangu, nitapambana na nitakushinda!!! Siogopi fedha zako wala connection ulizonazo, ni bora nife nikiwa nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti!

Nitapambana na wewe mpaka mwisho ili historia isomeke vizuri ili hata wanangu wakiwa wakubwa wajue kuwa baba yao sikuwa lofa kiasi cha kupiga magoti na kuelekeza shingo kibla kuruhusu mdhalimu kama wewe uichinje familia yangu, bali licha ya umasikini wangu nilisimama kiume na kupigana kutetea familia yangu!!!
Narudia tena mchungaji, nitapambana na nitakushinda..”

Kwako – Mchungaji Gwajima
 
Hakupanda kwenye gari by force, ila baada ya kuingia garini ndipo ubakaji ulipotekelezwa by force. Understand?

ok. nimeelewa.. lakini kwa nn akapanda kwenye gari la mtu ambaye aliwahi kumbaka tena wakiwa wawili?.. coz labda nilielewa vibaya ila nadhani ubakaji wa kwanza ulitokea kabla ya huo wa kwenye gari... amasivyo stori za waandishi zinatofautiana
 
Hebu tuongee ukweli jamani,nikweli alipata maumivu makali sana na bado akarudi nyumbani bado akabakwa akiwa nyumbani na kupata maumivu mengine makali sana????? je alienda hospitali gani kutibu hayo maumivu makali.Na huyu dada yake alikuwa wapi au ndo mchungaji alikuwa anapona
 
ikithibitika hivyo, mtuhumiwa anaenda kukalia ndoo siku hiyo hiyo na hakuna kukata rufaa!

siyo kweli, kuthibitika kuwa mbakwaji yupo under 18, haiwezi kumconvict jamaa, Kuna ingredients nyingine zinatakiwa ziwepo ndo verdict iwe established, suala la "je mtuhumiwa ndo kabaka" Ni gumu Sana achana na mambo ya umri, hayo huja baadaye
 
ni hatari pale mchungaji anapogeuka na kuanza kutafuna kondoo,ni nani atakayewaokoa? mbwa mwitu????
 
duh waandishi wa magazeti ya udaku wamepewa hongo duh kwel wachungaji wa sasa ni wa kuangaliwa
 
siyo kweli, kuthibitika kuwa mbakwaji yupo under 18, haiwezi kumconvict jamaa, Kuna ingredients nyingine zinatakiwa ziwepo ndo verdict iwe established, suala la "je mtuhumiwa ndo kabaka" Ni gumu Sana achana na mambo ya umri, hayo huja baadaye

mkuu, hizo ingredients ni zipi? hebu tuonyeshe zikoje ili nasi tujiridhishe kama kweli jamaa hataenda kukalia ndoo segerea.
 
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.

Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

Hii kesi imerudia tena s aliachiwa huru
 
Inawachukua miaka miwili kujua kama alibaka. Ndio maana tunasema hii nchi inahitaji utawala wa kijeshi.
 
Duh. ...

Watu hawasomi tarehe ya huu uzi wana comment kama uzi ni wa leo. ...
 
Back
Top Bottom