Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Wameshayamaliza kifamilia kesi hakuna humo; huyo Jamhuri atakosa ushahidi maana shahidi number moja atawaruka mita mia.
 
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...

Inashangaza sana, eti mara kwanza alimbaka nyumbani baada ya siku kadaha wakatoka kwenda kumtafuta frola akambaka tena kwenye gari. yaani unambaka mtu then mnafuatana? why hakushitaki mara kwanza?
 
Heri kukosea kujenga kuliko kukosea kuoa au kuolewa. Itamgharimu maisha yake yote. Pole Mbasha Mungu akusimamie.
 
sijacomment muda kidogo kuhusu kashfa hizi.. leo niandike; kesi imefika mahali pazuri sana na hivi karibuni ukweli utajulikana tu. Kuna vitu ambavyo uwezi kuvificha hata ufanyaje...
 
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...
mkuu si umeshaambiwa ndani ya gari...ukute alikuwa anamfungia humo
 
Ningekuwa na uwezo mbasha "ke" na "me" wasweke Jela maisha maana wote ni maccm na 2010 walikuwa wanakata mauno kama feni la mchina kwa JK

cc Mbasha
 
Last edited by a moderator:
mkuu si umeshaambiwa ndani ya gari...ukute alikuwa anamfungia humo
naona hukusoma post yote ukamaliza mkuu... mara ya kwanza nyumbani, then siku nyingine wanaongozana kwenye gari akafanya mishe tena.. hao wawili wanajua kilichotokea mimi sanasana nafanya assumption tu kua dada mwenyewe kama alifanya basi alipenda ndo maana akatulia.. still assumptions labda jamaa alikua na technique za kumnyamazisha
 
Ndio maana mimi huwa naona ujinga na ujuha kwa watu walio kwenye mahusiano kuitana, honey, sweetie, na ujinga mwingine unaombatana na unafiki wa binadamu. Ona sasa huyo flora ameshamchafua kijana wa watu. Kanisani waliapa kwenye shida na raha, sasa mbona huyo flora ameamua kumchinja laivu huyu kijana wa watu. Huyo flora -------- sana. Nimekumbuka ule wimbo wa bongo fleva:

Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake yeeeyeee mweyeweeee, yeeeeyeee mwenyeweeee x2
Kumbe hata jina lake nilidanganywa, nilidanganywaaaaa x 2
Nikajiona siwezi aachwaaa,,aaah aaa haaaa x 2
 
Cha kwanza alitulia cha pili alitulia cha tatu........eti ndo kashtaki ana pepo la ngono huyo binti
 
''na kumsababishia maumivu makali sana''...................Waandishi wa habari, yaani ukisikia habari ya mtu kubakwa lazima hii sentensi iwepo.

Hivi kila anayebakwa huwa anasababishiwa maumivu makali sana?!

teh teh teh
 
Inashangaza sana, eti mara kwanza alimbaka nyumbani baada ya siku kadaha wakatoka kwenda kumtafuta frola akambaka tena kwenye gari. yaani unambaka mtu then mnafuatana? why hakushitaki mara kwanza?

hakumshitaki kwa mara ya kwanza kwa kuwa Mbakaji alikuwa akitishia kumdhuru Mbakwaji endapo angetoa siri ya kubakwa kwa watu au kushitaki mahakamani. ndio maana mchungaji Gwajima alichukua jukumu la kumficha Mbakwaji ili asije kadhuriwa na Mbakaji. Umeelewa eeh?
 
Cha kwanza alitulia cha pili alitulia cha tatu........eti ndo kashtaki ana pepo la ngono huyo binti

Mbakaji alikuwa akimtisha asitoe siri....alipoona inauma ndipo uvumilivu ukamshinda.
 
naona hukusoma post yote ukamaliza mkuu... mara ya kwanza nyumbani, then siku nyingine wanaongozana kwenye gari akafanya mishe tena.. hao wawili wanajua kilichotokea mimi sanasana nafanya assumption tu kua dada mwenyewe kama alifanya basi alipenda ndo maana akatulia.. still assumptions labda jamaa alikua na technique za kumnyamazisha

hapo pekundu panahusika.
 
Wameshayamaliza kifamilia kesi hakuna humo; huyo Jamhuri atakosa ushahidi maana shahidi number moja atawaruka mita mia.

Umesoma uzi au unakisia tu?
 
Umenena vyema kabisa. Na huko kubakwa hakujajulikana mpaka walipokorofishana mke na mume?

Sijui kama hayo yataangaliwa kwasababu kwa ufahamu wangu SOSPA inamlinda sana Mwanamke haswa akiwa under 18. Ona mwenyewe kifungu hiki:

Section 130 of the Penal Code is hereby repealed and replaced with the following:
130.-Rape
(1)It is an offence for a male person to rape a girl or a woman.

(2)A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or woman under circumstances falling under any of the following descriptions:
(a)not being his wife or being his wife who is separated from him without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;

(b)with her consent where the consent has been obtained by the use of force threats or intimidation or by putting her in fear of death or of hurt or while she is in unlawful detention;

(c)with her consent when her consent has been obtained at a time when she was of unsound mind or was in a state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the man or by some other person unless proved that there was prior consent between the two;
(d)with her consent when the man knows that he is not her husband, and that her consent it given because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawful married;
(e)with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.

Kimsingi sikatai kuwa hii issue imepangwa lakini ukiangalia hivyo vifungu utaona Utaona kuwa utetezi kuwa hili jambo lilipangwa utakuwa hauna nguvu kwani the issue ni kuwa binti yupo under age hakuwa na hiari ya kufanya hilo jambo na mwanaume alipaswa kutambua umri wake kabla ya kufanya nae.
 
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.

Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

Hivi kweli huyu muimbaji anataka kumwangamiza mume wake gerezani jamani, hivi watu mbona wabaya kiasi hicho? hivi mtu anaweza kubakwa mara tatu asirepoti vyombo vya dola? lakini ninavyoona kwa kuwa huyo msichana ni minor...kwa vyovyote mbasha atakuwa criminalised...there's no concentual sex with a minor....je akifungwa flora mbasha atafurahi??? hakika mwanamke huyu ni shetani!
 
Back
Top Bottom