Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,748
Lakini baadhi ya wapinzani tunaowategemea nao wameshanunuliwa na hawa watuhumiwa wa ufisadi, je kunani hapo??
vipi kuhusu membe na kauli zake zenye utata na kwa jinsi alivyokuwa mstari wa mbele ktk mkutano wa sulivan huku mwenye dhamana (Nagu) akialikwa kama mgeni... je naye ana ajenda zake??? maana nchi hii imegeuzwa kama mti wa matunda mwituni kila mtu anajichumia anajilia kivyake kwa wakati wake....