Dr Willibrod Slaa
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 675
- 1,523
MMK Thanks. Wameulizwa ndani ya Ukumbi wa Bunge, wamekwepa kulijibu. Iwapo Serikali haitoi majibu na sisi tusisubiri majibu yao kama tunafahamu kilichojiri. It is a challenge wakiona tunapata majibu kwa njia zetu,nao watajifunza kuwa Transparent, ndizo njia tulizotumia kuweka pressure kwenye ufisadi. Ni very effective. Mwenye Mali hutakiwi kusubiri uliyempa mdhamana akupe taarifa. Kama hataki nawe tafuta kwa njia zako.