Kama ni kesi kweli imesimama maana nyaraka zote muhimu zinampa Rugemalila a wining chance.
Wait a minute. Labda uelewa wangu Mdogo kuhusu masuala ya biashara ndo tatizo hapa. Huyu bwana ruge aliuza hisa zake kwa PAP kwa mujibu wa taarifa tulizokuwa tanapewa na yeye akalipwa na kisha kulipa kodi stahiki. Swali langu hapa ni kwa vipi tena huyu muheshimiwa sana anadai kumiliki kilichakuwamo kwenye akaunti ya tegeta escrow wakati tayari keshauza hisa zake hivyo kukosa umiliki katika IPTL? LIANGALIENI HILI JAMANI.