Eti leo ruge kageuka kuwa shujaa tena,
mulugo umetuachia msiba mkubwa watanzania.
we dont care
yeyote yule muhusika na mgao wa fedha za umma hizo ana case ya kujibu kuanzia kwa hao viongozi hadi maaskofu
kumbuka kwenye hiyo pesa kuna pesa ya umma remote
haijalishi iliyolipwa VIP HATA IPTL
KOTE HUKO KUNA PESA YA UMMA,
SO WANUFAIKA WANA CASE YA KUJIBU
WACHA MOVIE IENDELEE
Hivi security services za kulinda mslahi ya nchi kama ilivyo marekani, wana exist nchi hii.
Maana huyu mhaya kisha onja asali, anachonga mzinga sasa.
we dont care
yeyote yule muhusika na mgao wa fedha za umma hizo ana case ya kujibu kuanzia kwa hao viongozi hadi maaskofu
kumbuka kwenye hiyo pesa kuna pesa ya umma remote
haijalishi iliyolipwa VIP HATA IPTL
KOTE HUKO KUNA PESA YA UMMA,
SO WANUFAIKA WANA CASE YA KUJIBU
WACHA MOVIE IENDELEE
Yaap...anafanya hivyo baada yakuona hao jamaa wanaopenda kujiita Viongozi wetu wanatumia maSABURI kufikiri badala ya ubongo...!!!
Ninyi rukarukeni lakini pesa zilizoibwa account ya Escrow lazima zirejeshwe na waliohusika kwenye wizi huo wakamatwe na kushtakiwa. Hapo ndipo sisi watanzania tutawaelewa.
hata kabla ya kufika huko kwenye uma na sio uma
ukishasema tu pap was not a recognized legal person in tanzania kipindi hili deal linafanyika...then kila kitu kinakuwa void.
Then kila transaction iliyofanyika na pap ni void....
Cha ajabu rais wa tanzania amewatetea hawa pap....eti baadaye walipata vibali
James FA.LA kweli yaaani
sasa wewe James wakati unachukua pesa na kwenda kuzigawa makanisani kama matoleo ya sadaka hukujua kuwa ni za kampuni fake??
umestuka mida hii ili iweje
MTATAJANA MWAKA HUUU