I smell something fishy!
I guess mama Tibaijuka could be behind this move by Mr.Rugemarila.
However,this move is of great advantage to us.
Hii kesi anashinda
makubwa mbona cielew hapa huyu ci alishiriki kugawa hela kwa kina tibaijuka sasa anataka kulipwa tena
Mama anna tibaiujuka amefanya yake
Kilaini na Ngigilwa wakae mkao wa kula, Ruge ndo kaenda mahakamani hivo.ndio waelewe kuwa jk kawapoteza maboya na kuwaacha wahusika wakuu na badala humu jf wameishia kuwalaumu kina nzigilwa, kilaini na tibaijuka.go on Rugemalira
cc Ritz THE BIG SHOW Candid Scope
This is part two of the movie ... lakini mbona imetoka haraka haraka hivi?
Hivi security services za kulinda mslahi ya nchi kama ilivyo marekani, wana exist nchi hii.
Maana huyu mhaya kisha onja asali, anachonga mzinga sasa.
Ruge na JK hawakukutana barabarani!!
Quentin Tarantino ndio mwenye mauzauza anapodirect movie.haya bana tuendelee na episode nyingine.
mleta mada tutajie japo namba ya kesi isije kuwa unapima upepo.
ndio waelewe kuwa jk kawapoteza maboya na kuwaacha wahusika wakuu na badala humu jf wameishia kuwalaumu kina nzigilwa, kilaini na tibaijuka.go on Rugemalira
cc Ritz THE BIG SHOW Candid Scope