Hii ni chai tu!
Huyu Ruge alikuwa na kesi ya ufilisi na Mechamar mahakamani , akaibuka PAP . Ruge akaongea kna PAP wakakubaliana akapeleka hati ya kuondoa hiyo kesi. Jaji utamwa akatoa hukumu , Ruge akamuuzia hisia zake PAP.
Sasa hivi Ruge anatoa wapi ujasiri wa kufungua kesi?
Baada ya Ruge kuuzia hisia zake kwa PAP , maana yake hana chake tena IPTL na kwa hizo hizo hisia zake alizomuuzia PAP anakua mmiliki halali wa iptl.
Hamna kitu hapo , wametuibia hela zetu halafu wanatuletea michezo ya maigizo.
Tunataka pesa zetu mlizoiba escrow.