James Millya chunga kauli zako

James Millya chunga kauli zako

Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!

Hapo hakuna matusi wala nini, kwani panya matusi, ngoja wamakonde tikusikie.
Mbona huyo rais wenu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa huwa anatoa vibom vya wazi kabisa, kamkanye yeye kwanza.
 
Yawezekana kabisa haki ilibakwa, lakini aliyeibaka alipata kisingizio ambacho bado anacho - lugha chafu.
Je ni sahihi kuendelea kumpa kisingizio hicho?
ukitaka kula sharti uliwe,..
 
Mnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
wapi kawaita watu panya,..kasema akashughulikie panya,.wewe unamwekea maneno kinywani
 
Mnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
mwambie mtambo wenu wa matusi sumbawanga uchaguzi waja ajiandae kwa matusi
 
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."

Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?

Mkuu akisema akawashughulikie wezi wa fedha za halmashauri ina tofauti gani kwani..? Wezi c ndo wanaoitwa majina mabaya..? Hicho ni kivumishi cha cifa mbaya ya ziada Mkuu.. Huyo atakaeenda mahakamani kulalamikia kauli hiyo atakuwa anajitaja mwenyewe kwamba ni mwizi..
 
Hapo hakuna matusi wala nini, kwani panya matusi, ngoja wamakonde tikusikie.
Mbona huyo rais wenu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa huwa anatoa vibom vya wazi kabisa, kamkanye yeye kwanza.

hata kama unadhani kuwaita watu panya si matusi, lazima tujenge kizazi kinachotumia lugha safi
 
Dogo millya alipima upepo akaona mambo ccm yamemkalia hvyo na hakuwa na nafas ya kushida kwenye uchaguzi wowote akaona akimbilie magwanda ambapo now amegeuka ganda
 
Mkuu akisema akawashughulikie wezi wa fedha za halmashauri ina tofauti gani kwani..? Wezi c ndo wanaoitwa majina mabaya..? Hicho ni kivumishi cha cifa mbaya ya ziada Mkuu.. Huyo atakaeenda mahakamani kulalamikia kauli hiyo atakuwa anajitaja mwenyewe kwamba ni mwizi..

Hicho ndicho kiswahili na ndio lugha stahiki aliyopaswa kuitumia. Kwa nini kuchagua mbadala utakaokuja kum-cost mbele ya safari?
 
sio nzige tu halmashauri nyingi zina tunutu pia.
 
Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!

mchwa au panya lina ubaya gani kwa watu wanao itafuna manispaa ya arusha ulitaka tuwaitaje..
 
Tuanataka staha. Kama Lusinde ni mwehu basi unataka Millya nae awe mwehu? Tunataka kampeni ya kistaarabu

Sasa kwani kuita mafisadi panya we unaumia nini? au na wewe ndio mmojawapo nini? Panya ni panya hawezi kuwa paka.
 
Halmashauri zina panya buku wanao fugwa na serikali ya ccmweli na kukomba pesa za wananchi.

We ni mtu wa ajabu sana, yani unashangaa kauli hii ya ukweli.

Je hiii

Atakaye shindwa kulipa nauli ya kivuko apige mbizi-Magufuli
 
mchwa au panya lina ubaya gani kwa watu wanao itafuna manispaa ya arusha ulitaka tuwaitaje..

ni wezi tu! na ndio maana wezi wakubwa hawaoni aibu kwa kuwa mmewabadilisha jina na kuwaita mafisadi kwa hiyo hata watoto wao hawajui kuwa baba zao ni wezi. kijiko ni kijiko, sio kifaa cha kulia ubwabwa........
 
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."

Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?

Hizi ndizo burudani zenyewe kwenye siasa za siku hizi. Hata Nassari wkt anagombea Arumeru alikuwa anatumia hii kauli. Ni political slogans za kawaida tu, sio abusive language. wala usishtuke. Wassira alimwambia Slaa aache kuwaita wake za watu chumbani, hiyo nayo imekaaje??
 
Back
Top Bottom