James Millya chunga kauli zako

Sasa kwani kuita mafisadi panya we unaumia nini? au na wewe ndio mmojawapo nini? Panya ni panya hawezi kuwa paka.

Nitajie mtu mmoja tu aliwahi kushtakiwa kwa kosa la ufisadi Tanzania. Muite mwizi - mwizi, kisha mkamate umfungulie kesi ya wizi ama sivyo tega mitego ya panya hadi huko mahakamani
 
kwani crucifix kwani masijala nyingi za halmashauri c zina panya wengi? Na ktk mastoo pia? Au alitaja mapanya kwa majina yao?
 
Hicho ndicho kiswahili na ndio lugha stahiki aliyopaswa kuitumia. Kwa nini kuchagua mbadala utakaokuja kum-cost mbele ya safari?
kama vile ccm walivyobatiza rushwa jina la takrima,una maana ole milya angetafuta lugha laini kidogo ,kweli magamba akili zenu zimelewa madaraka
 
kwani crucifix kwani masijala nyingi za halmashauri c zina panya wengi? Na ktk mastoo pia? Au alitaja mapanya kwa majina yao?

Sasa Ufunuo, panya wa masijala na ktk stoo hawahitaji diwani kuwashughulikia, wanahitaji paka. Kwa mtazamo wako huo Msofe kawa paka?
 
Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!

Mkuu, yaonekana kiswahili kinakupiga chenga japo ni m-TZ na ni lugha yako. Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa "Tamathali za semi?".

Ungefurahi angesema wakaondoe walafi? Sasa alikuwa na maana hiyo lakini akatumia ustaarabu na kuongea lugha iliyovaa nguo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ha ha haa, hizi kauli za kuitana PANYA, Cockroaches nk nk, ndizo zilimponza Col. Gadaffi! Haya bana, yetu macho na masikio!
 
panya ni panya tu, na gamba ni gamba tu hakuna jina zuri zaidi ya hilo.
 
bora uwaambie hawa wasiosikia na kuona ukweli,wamezibwa kwa kupewa vikofia na khanga

Wanajifanya hawaelewi!.. Wanajifanya wamekunywa maji ya chooni hawaoni wala hawasikii.. Watahisi tu ngoja yawaingie sawasawa..
 
Sijaona hoja ya msingi hapa zaidi ya uoga wa mleta thread, sisi huku kwetu Ukonga kila tukifanya mikutano tunawaita ccm ukoo/familia ya panya; baba, mama, shangazi, mjomba, babu, bibi, mtoto na mjukuu walio ndani ya system ya ccm ni wezi.

Labda nikuulize mtoa malalamiko ni lini panya walikula haki ya jasho lao zaidi ya kutuibia kila kukicha?
 
Halmashauri ya jiji la Arusha ina Panya, mchwa, viwavijeshi, siafu, kenge, kunguru, nzige...kunaitajika pestcide itakayo ua bila kubakiza kitu hapo...

Safi sana Millya kauli ya Kimapinduzi hiyo...

tarime iliwashinda,mwanza mkasambaratika,ilemela mkapigana na kujificha kwenye uvungu wa meza, arusha ndio hiyo hadi leo mchawi hajapatikana mnazidi kuparurana,mnataka arusha ipi?
 
Sijaona hoja ya msingi hapa zaidi ya uoga wa mleta thread, sisi huku kwetu Ukonga kila tukifanya mikutano tunawaita ccm ukoo/familia ya panya; baba, mama, shangazi, mjomba, babu, bibi, mtoto na mjukuu walio ndani ya system ya ccm ni wezi.

Labda nikuulize mtoa malalamiko ni lini panya walikula haki ya jasho lao zaidi ya kutuibia kila kukicha?

endelea kupombeka pale banana bar nyingi
 
Sijaona hoja ya msingi hapa zaidi ya uoga wa mleta thread, sisi huku kwetu Ukonga kila tukifanya mikutano tunawaita ccm ukoo/familia ya panya; baba, mama, shangazi, mjomba, babu, bibi, mtoto na mjukuu walio ndani ya system ya ccm ni wezi.

Labda nikuulize mtoa malalamiko ni lini panya walikula haki ya jasho lao zaidi ya kutuibia kila kukicha?

bahati mbaya watu wa dar hawadanganyiki.utaimba sana hizo nyimbo zako uchwara
 
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."

Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?

Namsubiri huyo atakaekuja kushitaki kwa kutumia kauli za namna hii maana itabidi a-admit kuwa yeye ni panya!
 
Mbona matusi ya lusinde hayakumfanya apelekwe mahakamani kama dk kitila mkumbo?
 
Back
Top Bottom