T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 990
Serikalini kwenyewe kumejaa 'Panya'.. Kama hamjui tafsida mtateseka sana.
ile dhambi ya mauaji itakutafuna milele
Serikalini kwenyewe kumejaa 'Panya'.. Kama hamjui tafsida mtateseka sana.
Mnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
kwenye halmashauri zetu zina Kunguru, paka shume, panya Viwavijeshi nk. Hivyo wote wanatakawa kushughulikie. Pia kuna mchwa na siafu, hawa tuwape ushirikiano! Haya si matusi kaka, kama unazijua tabia za wanyama hawa utabaini kwamba ni lugha ya picha tu imetumika. Tena hata kwenye kiswahili inaruhusiwa! Hujawahi sikia msemo huu "wanafanya kazi kama mchwa!"Mnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
No, hazina mchwa bali zina VIWAVI JESHI!
hata kama unadhani kuwaita watu panya si matusi, lazima tujenge kizazi kinachotumia lugha safi
Mwisho wa siku mahakama zikitengua matokeo kutokana na lugha zisizofaa tusirudi tena kulalamika eti kuna shinikizo la kisiasa. Kumbuka kauli ziligharimu ubunge wa Lema
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."
Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?
ile dhambi ya mauaji itakutafuna milele
No, hazina mchwa bali zina VIWAVI JESHI!
No, hazina VIWAVI JESHI zina SIAFU..