Rz1 anamkono hapo MkuuKesho Nape atakurupuka hivi bado gazeti hilo ni la Juma Pinto
Elewa wewe kwenye kiswahili neno raisi halipo kabisa, rais ndiye maana yake kiongozi wa nchi. Hebu soma hata vibao vya shule vianandika ''Ofisi ya rais na si ofisi ya raisi".Hiyo ni tricky ya lugha tu na utata huo umeachwa makusudi ili kuwaokoa kwa kile walichokihofu baadae na ni lazima ile kwao. Watachezea akili za wapuuzi na si saikolojia zetu. Kusudi la kuandikwa hivyo na nia yao ni ile ile ijapokuwa imeachwa herufi moja ili kuzugia
Khamis not khamisiNinyi ndiyo hamjui Kiwasihili. Neno sahihi kwa kadiri ya Kiswahili sanifu kumaanisha kiongozi mkuu wa nchi yetu ni RAIS na siyo Raisi. Mwandishi yupo sahihi.
Tena ngumu mnooo, ila taratibu watu wanafunguka.Hapana mkuu bado hatujafika safar hii ndefu na ngumu
Nakushauri ujifunze kuandika, wapi kwa kuweka, koma, nukta and paragraph. La sivyo inakuwa vigumu kuelewa ulitaka kusema nini.
mi nimeona tofauti kati ya 'rais' na rais, sijarudia kitu kilekile.Mbona umerudia like kile mkuu ni Raisi
Nahisi unamjua mmilikiAisee hili gazeti litabaki hai kweli? Cha msingi wajiandae kufungiwa na mwandishi ajiandae kuwekwa lupango
Kweli mkuu wanaolialia ni wale waliozoea mboga saba sisi wa mboga moja tunaona rais anajitahidi.Wale wote ambao mirija yao ya unyonyaji imekatwa lazma walie nakutafuta huruma ya wanyonge kwakumsema vibaya RAIS wetu,lkn waliokua wanatamani kuiona TZ mpya tunatabasamu pale anaporejesha heshma kwa wananchi,sio wapinzani tu hata waliozibiwa mianya ya ulaji ndani ya chama tawala wanahaha kumchafua lkn mmeshaashindwa tayar
teuzi za kanda ya ziwa zinafail kwa kasi sana....Mungu anamkubusha kwamba ni 'rais' wa taifa sio mikoaUkicheka na nyani utavuna mabua ni msemo wa wahenga unaohitajika kutumika kwa sasa. Kufitinisha nchi, watu na raisi kiasi hiki kisa watu fulani wanaguswa hatuwezi kuikubali, mafisadi ama wahame ama warudishe chetu ama sivyo ni lazima wapelekwe segerea.