Hata mimi sina imani na hili gazeti,pia sijui wanamaanisha rais yupi maana kuna rais wa manzese,rais wa wasafi,rais wa wacheza bao..ufafanuzi muhimu
Kwa wavivu wasiotaka kufanya kazi ni anasa kweli kunywa soda,hata wale waliokua wanapata fedha za bwereree nao sasa wanalia hata starehe washaacha Viva Magufuli kwa kurejesha heshma mjini,kila mbuzi ale usawa wa kamba yakesasa hivi kunywa hata soda ni anasa
Labda wanamtaka Maembe awe Raispicha ni ujumbe tosha wa ni Rais yupi wanae manisha
go back to school Dude. you look like nothing in your life.Ni kweli kabisa, kama Lissu anaamini katika kile alichokisema naTV zikamrekodi na kurusha ni kwa nini akipelekwa mahakamani kujibu hayo aliyosema anakana maneno yake?
Teh teh teeeeh! Mie naogopa kusema nitafungiwa.
Ndipo tulipojifikisha sasa!Utafungiwa usitumie mitandao yote ya kijamii..... teh tz buaaana!
hujui maana ya uchumi kuwa mbovu au ??? unaweza fanya kazi masaa 24 alafu unapata 2000 hiyo elf 2000 inabdidi unga na mboga au ubweche hapo hela ya soda inakuwepoKwa wavivu wasiotaka kufanya kazi ni anasa kweli kunywa soda,hata wale waliokua wanapata fedha za bwereree nao sasa wanalia hata starehe washaacha Viva Magufuli kwa kurejesha heshma mjini,kila mbuzi ale usawa wa kamba yake
Ndiyo maana yake wamebanwa kila kona, Magufuli hana mchezo, kabana kwenye mafuta, bandali, TRA, wafanyakazi hewa juzi ndiyo kawamaliza kabisa kaziba kwenye madini.Hili gazeti si la kada wa ccm imekuwaje au naye mirija imekatwa
Kinachomsumbua ni ule mzuka wa kampeni bado anao lkn kadri siku zinavyokwenda inapungua,naona hata majipu madogo madogo yamepungua yamebaki yale makubwa ambayo kamwe hayataguswa.Rais anafanya mazuri kwa asilimia kubwa na anatakiwa kurekebisha machache hasa katika mambo yahusuyo sheria na utawala bora. Matamko na amri zinazoweza kutafsiriwa kukinzana na katiba na sheria ni tatizo.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maneno husababisha kelele na mapambano zaidi ya vitendo vyenyewe vya uvunjifu wa katiba na sheria kama vingefanyika kimya kimya.
Haya ni ya busara zaidi.
Luna maana nyingi kuandika kitu nakuweka quotation mark au alama nukuu au fungua na funga semi.nashukuru kwa marekebisho maana mi nilikuwa najua inaandikwa raisi, swali lipo palepale kwa nini wameandika 'rais' na sio rais wanamaanisha nini.
ukiyagusa usaa unaweza kukudondokea ww mwenyewe so ni bora ale buyuKinachomsumbua ni ule mzuka wa kampeni bado anao lkn kadri siku zinavyokwenda inapungua,naona hata majipu madogo madogo yamepungua yamebaki yale makubwa ambayo kamwe hayataguswa.
Hapana mkuu bado hatujafika safar hii ndefu na ngumuNdipo tulipojifikisha sasa!